Hivi hadi siku hizi kuna watu wanapiga wake zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hadi siku hizi kuna watu wanapiga wake zao?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Oct 3, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,517
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa leo walikuwa wanapiga stori ..mmoja akawa anamwambie mwenzake like kama anakuzingua anakununia nunia piga ..dawa yao ni kipigo hadi anyooke.. i was like wtf?.kumbe hadi karne hii na wakati wetu kama huu watu wananyosha mikono yao na kupiga wake zao bila uoga/woga. kama ni kweli wadau tunatakiwa tubadilike na kumaliza tofauti zenu kwa kukaa chini na kuongea.
   
 2. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wapo wanaopiga tena sana tu.

  Juzi mwanaume mmoja jirani yetu kampiga mkewe vichwa, mateke na ngumi huku mkewe akiwa amebeba mtoto mdogo mgongoni, kisa mkewe hajapika chakula, wakati huyo mumewe alipoondoka asubuhi hakumwachia hata mia. Eti anamwambia kwa nini usichume hata matembele ukapika, ninahangaika kupanda matembele na bado kupika huwezi. Huyo mwanamke akahoji hayo matembele angeyapikaje wakati ndani hakuna mafuta ya kula, mchele, unga, , na viungio vya mboga, hilo ndio lilikua kosa. Mwanamke hafanyi kazi ni mama wa nyumbani, na huyo mumewe anambana sana mkewe hataki atoke kwenda kujishughulisha. Amekua akimpiga mara kwa mara na kumtukana matusi makubwa mbele ya watoto.

  Mwanaume akikuchoka jamani, atakutafutia sababu mia kidogo. Badilikeni!!! Hata kama mtu ukipata nyumba ndogo wajali hata watoto wako, isiwe sababu ya kuleta vurugu nyumbani na kufukuza familia yako, maana laana ya mke na watoto wako itakutafuna popote utakapoenda.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mwanamke asipigwe? au unadhani wanawake wote wako sawa na wanaringana? mbona wanaume wanapigwa na wake zao?

  Mimi si miongoni mwa wapigaji ila ukinichanganya siku ni lazima ule kisago cha uhakika ili uelewe kabisa kwamba to be a Gentleman siyo ujinga.
   
 4. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Sasa wewe unashangaa nini?? Kwani aliyekwambia kumpiga mwanamke ni ishu sana ni nani??!!! Kwa taarifa yako kuna wanawake wengine usipowagusa gusa kdogo once in a while wanakuona ****, tena hasa kina dada wa kibongo.
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kumpiga mke! mimi hapana, kama tumefikishana mahali nimeshindwa kumvumilia kutokanan na vitendo vyake, ni biora hata kuachana....
  Kama mwanaume anafikia mahali pa kumpiga mkewe, nadhani huyo atakuwa na walakini katika ubongo wake....
   
 6. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wapo sana tu ...ila nadhani ya siku hizi ni kupigana...........kuna couple aisee wanadundana balaa....wanawake nao wako fiti ajabu!!!
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio ubongo wako una walakini, usidhani kila mwanamke amezaliwa kwao anaangalia Isidingo.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  huyo mwanaume ni mfujaji wa kisaikolojia ( Mtambuzi anahusika hapa), too bad mwanamke amekubali kunyanyasika
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45

  Sasa ukimpiga huo upendo ndani ya nyumba unaendelea kuwepo au unaishia hapo. Maana sidhani kama ukishampiga ataweza kuendelea kukupenda kama alivokua anakupenda mwanzo labda awe ana pretend tu.
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Bila shaka wewe utakuwa ni MKURYA wewe.....
  Nina wasiwasi sana na uwezo wako wa kupambanua mambo kwa kutumia fikra pevu na upembuzi yakinifu, kama wewe huwezi kumvulilia binadamu mwenzako hususan mwanamke basi wewe utakuwa una udhaifu mkubwa katika ubongo wako...
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio dhaifu na inaonekana wewe ni Msambaa, usigeneralize wanawake ukadhani wote wanaangalia Isingo au La Revenge, sawa na wanaume pia wako tofauti.

  As for me kama mwanamke ataniudhi to the maximum napiga ngumi nataka ngwala na vichwa juu, wewe endelea na uzezeta wako, kama umeowa mwanamke aliyevunja agano la kuwa Sista mtawa usidhani wanawake wote wanapswa kuwa treated kama unavyotaka wewe kuaminisha watu.

  Makamu wa Rais wa Uganda wa Museven nimemsahau jina lakini sasa hivi hayuko madarakani alikuwa analamba vibao kutoka kwa mume wake kama kawa na akaambiwa umakamu wake wa Rais unaishia mlangoni anapoingia ndani ya nyumba.
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  jana nilikua na washkaji mahali nikasikia wakimtania mwenzao kua anapewaga kibano na mwanamke wake na huyo mwanamke yuko pale anasikia...mi kupiga mwanamke siwezi ila mwanamke asiniguse maana siku akinigusa ndio atajua mizimu yangu ya kiarusha inafananaje
   
 13. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Aliyekwambia upendo huwa unaisha kwa kupigwa tu nani?!!! FYI mke anaweza akapigwa na upendo ndo kwanza ukaongezeka na anaweza akaachwa tu halafu akakuona kama mjinga fulani hivi. Unajua nyie mnaosema kuwa kupiga mke si sawa na vitu kama hivyo mnafikiri wanawake wanafanana. Ni kwamba hawa kinadada wanatofautiana sana (msome Matola hapo juu utaelewa naongea kitu gani). Ukweli ni kuwa kuna wanawake usipowagusa (i.e kutoa kichapo) mambo hayaendi kabisa. Ila sasa hapa nazungumzia kichapo cha wastani tu sio zile ishu za kuvunjana miguu na mikono hadi kupelekea kulazwa.
   
 14. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,638
  Trophy Points: 280
  Wewe mleta mada mwenyewe umeowa au una Girlfriend tu,na kama umeoa ndoa yako ina muda gani,swala la kupiga mkeo ni deciosion ambayo itakutoka kama vile decision utakayofanya utakapofumania mkeo anatoa uroda live,utaamua kupigana au kuondoka taratibu kimyakimya,there is psychological thing behind that si swala la kusema hatakiwi au anatakiwa kupigwa.
   
 15. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Baambie baba baelezee, bape ukweli.......................Watu uzungu umewaingia na hizi elimu zao za mkoloni basi wanadhani kila mtu anafikiri kama wao. Hawa wanaotetea hizi ishu, hawawajui vizuri hawa wanawake wetu wa kitaa.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo kama kwao alikuwa anabeba kuni ndo unampiga?
  I am so ashamed of u aisee. Mwanaume kupiga mkeo sio tu ni tatizo la ubongo lakini ni ishara ya kuwa weak. I mean coward. A real man faces his issues banaa.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Duh. Nafikiria kuhamia kwa kina mange kimambi. Kumbe mnaonekana wanaume humu na huko home hamna kitu? Unataka mkeo akuheshimu na kukupenda ama unataka akuogope. Msinijibu manake sirudi, msije mkaniharibia siku.
   
 18. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Si nimesema una walakini kwenye ubongo wako, unakosa hata kumbukumbu ya vitu vidogo kama hivi.. ngoja nikusaidie anaitwa Specioza Kazibwe... Aliikluwa ni mwanamke jasiri aliyeamua kuimuacha mume mnyanyasaji kutokana na kuwa na kitu kinachoitwa Infiriority Complex... na kutojiamini

  Bado nasisitiza kama umeshindwa kumvumilia mwanamke ni bora muachane kuliko kutiana ngeu, mtu hujui amezaliwa akiwa na tatizo gani, sasa ukimpiga halafu akakufia utakuwa umefaidika na nini? utafia jela...!
   
 19. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Sasa King kwani wewe ndio wanawake wote???!!!!!!!!!!!!!!! Kwa nini nyinyi wanawake mlio na elimu ya mkoloni mnapenda kudhani kuwa mnachotaka na kufikiri nyinyi ndicho anachopenda kila mwanamke.................Msipende kuhukumu watu, mimi nakwambia nina uzoefu wa kutosha tu wa wanawake wanaofurahia kipigo na wala sio wakurya wala nini, maana hapa utasikia aah huyo atakuwa mkurya.

  Muhimu ni kuwa si kila mwanamke ni King, na pia si kila anayepiga hajiamini.
   
 20. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kama unataka kuhama we hama tu. Yaani hutaki watu waseme yale wanayoona ni sahihi au yanatendeka kwa kuwa King atahama. Btw King ukikimbia hapa utajipunguzia maksi nyingi sana....C'mon lete hoja sio kukimbia. Pia kumbuka hatufanani.
   
Loading...