Hivi hadi siku hizi kuna watu wanapiga wake zao?

unaitaka maana ya gentleman mkuu wangu mjasiria??? kama ni hivyo mwenye kuweza ku-attach encyclopedia hapa na dictionary vyote anisaidie!

Hata ukitoa maana bado nitakuuliza kwa standards zipi? Hivi unadhani huo ujentomani unafanana katika mitaa yote ya dunia hii??:shock:
 
Kiranga atakwambia yeye hana dini.

Tatizo la kukosa dini, ni kuwa ni vigumu sana kukubaliana katika kile ambacho mtaamua kuita maadili......Maana kile ambacho mmoja anaweza kuona ni maadili mwingine ataona ni utumbo tu na uhuni mkubwa. Kwa hiyo sijui iweje lakini hii idea ya chochote kile ni pouwa tu ndiyo inayoleta mkorogo haswa maana kila mtu na mawazo yake.
 
Sijawahi kupiga for more than 10 years sijui kama nitapiga namshukuru Mungu kwa hilo. Binafsi nachukia kupiga (though najua sana kupiga kwa mdomo- risala) nadhani inatosha....
 
Kwa nini mwanamke asipigwe? au unadhani wanawake wote wako sawa na wanaringana? mbona wanaume wanapigwa na wake zao?

Mimi si miongoni mwa wapigaji ila ukinichanganya siku ni lazima ule kisago cha uhakika ili uelewe kabisa kwamba to be a Gentleman siyo ujinga.

friend wangu alikuwa ananikeraga sana na matabia yake ya majibizano/kununa kusiko na mpangilio kwa mr wake, kugomba/kuropoka, juzi kati u gentleman ulimuuisha mr, jamaa alibonda sikuamini mpaka mdada alilazwa na jamaa hakutia mguu hosp, nadhani alikuwa anamlia timing tu, sasa hivi kanyooka, siyo yule tena, ndio hapo nikajua ka kofi kanarudisha mtu mahali pake, but mie nifanyie yote kunitwanga aisee hapana.
 
Na kwa nini uone hayo ni matatizo ya kisaikolojia?! kwa sababu kama lengo ni kufurahia ndoa na hao watu wanafurahia maisha yao kwa nini wewe uone ni tatizo? Na kwanini utake kutuaminisha kuwa kufurahia ndoa ni lazima tuishi kwa staili ambayo wewe unaamini ndiyo sahihi??

On the other side hauoni kuwa yule aliye hyper-sensitive kwenye ishu za kupigwa kama wewe naye ana matatizo ya kisaikolojia kwa sababu katika makuzi yake hakuona mama yake akipigwa (au yeye mwenyewe kupigwa). Hivyo naye ameathirika kwa namna moja au nyingine?

Kwa maneno mengine kama huyu anayeona kupigwa ni tatizo na atafurahi zaidi asipopigwa kwa sababu tu alilelewa hivyo basi si haki kumhukumu huyu mwingine anayeona kupigwa/kupigana siyo ishu na ana anafurahi zaidi iwapo hayo mambo yatakuwepo kwamba ana matatizo kwa kuwa naye ndivyo alivyolelewa. Otherwise itakuwa kama double standards fulani.

Mwisho tatizo ni kuwa hakuna frame of reference ya malezi sahihi na hapa ndipo nadhani itabidi tukubaliane kutokukubaliana kwa sababu itakuwa vigumu sana kukubaliana kama hatuna common reference point. Na hapa ndio utaona umuhimu wa dini na maadili katika jamii.

Niseme ana matatizo ya kisaikolojia kwa sababu binaadamu hatujaumbwa kufurahia/kupendelea maumivu.

Tangu dunia inaanza, binaadamu katika kukimbia maumivu na madhila mengine, wamevumbia njia mbali mbali za kukabiliana na mazingira yao. Kwa hiyo kimsingi anaependa maumivu ndie mwenye matatizo ya kisaikolojia.
 
Tatizo G, suala la maumivu ni very subjective..........Kuna vitu wewe unaweza kuita ni maumivu lakini mwingine akaona ni starehe. Unajua pamoja na ukweli kuwa binadamu hatujaumbwa kufurahia maumivu lakini hakuna a single conclusive definition ya maumivu, kwa hiyo hayo unayoyaita maumivu pengine si maumivu kwa mhusika, hapo unasemaje?
 
Vipi kuhusu mtoto anayelala kitanda kimoja na mama yake na anapigwa mashine na mwanaume mwingine huku mtoto anajuwa huyu si Baba yake na miguno yote anaisikia?
Hapa unaonaje?

Hapa ninaniona inamuharibu mtoto kisaikolojia, ila sijajua imehusiana vipi na mada hii inayoendelea.
 
Sasa hawa wanaokwenda kwa kipigo huwa wanabadilika? Mwisho wake huwa ni nini Mjasiria? Maana nakumbuka sie tunaambiwa mtoto ukimpiga sana anakuwa sugu, je mwanamke naye hawezikuwa sugu ukawa kila siku anarudia makosa na wee ukaambulia zile za ..Nipige sasa, we si umezoea kunipiga nipige! Nshakuzoea??

Mie nilishashuhudia mmasai mmoja alikuwa jirani yetu enzi hizo ningali mdogo, alikuwa anampiga mkewe kila mara siku ya siku mkewe akamjia na hizo za nipige sasa si ulishazoea, tena akendachukua kisu kabisa akalaza kichwa chake kwenye kochi akimtaka mumewe ammalize kabisa......................................

mie naona kuna wanajifunza baada ya kipigo na kuna wanao kuwa sugu, na hiyo piga za kila siku mie huwa sielewi kabisa, nakumbuka kuna siku tulikorofishana na msukuma nadhani uzalendo ulimuishia akanyanyua kofi but alilirudishia njiani, nili imagine baadae hilo bao lingenipata sijui ningedondokea wapi, kuna piga nyingine si masihara, huyu rafiki yangu ninaemsemea alipigwa kama kibaka, hapana yule mr wake alimpania ausee, but mpaka leo kidomo domo alichokuwa nacho kimeisha kabisa kabisa, sijui kipigo kimemfundisha ustaarabu ama. mcng u sana sana my dearest.
 
Kwa nini mwanamke asipigwe? au unadhani wanawake wote wako sawa na wanaringana? mbona wanaume wanapigwa na wake zao?

Mimi si miongoni mwa wapigaji ila ukinichanganya siku ni lazima ule kisago cha uhakika ili uelewe kabisa kwamba to be a Gentleman siyo ujinga.
Matola ..unajiona upo right bu kwa kipindi hiki ya totally wrong my friend. think twice!! utakuwa mtu wa kukimbiwa daily
 
Last edited by a moderator:
Tatizo G, suala la maumivu ni very subjective..........Kuna vitu wewe unaweza kuita ni maumivu lakini mwingine akaona ni starehe. Unajua pamoja na ukweli kuwa binadamu hatujaumbwa kufurahia maumivu lakini hakuna a single conclusive definition ya maumivu, kwa hiyo hayo unayoyaita maumivu pengine si maumivu kwa mhusika, hapo unasemaje?

Suala la maumivu sio subjective kihivyo kama matatizo ya kisaikolojia hayajahusika au katika extreme cases ambapo mtu ana dosari katika neurons zake

Mechanism zinazofanyakazi kwenye mwili wa binaadamu ni zile zile. Kwa hiyo kibao ni kibao tu, mwili uta register kuwa kibao nimepigwa na maumivu yamepatikana.

Sasa hapo ni suala la jee aliyepigwa yupo katika hali gani kisaikolojia? Jee ameaminishwa nini kichwani mwake?
 
mie naona kuna wanajifunza baada ya kipigo na kuna wanao kuwa sugu, na hiyo piga za kila siku mie huwa sielewi kabisa, nakumbuka kuna siku tulikorofishana na msukuma nadhani uzalendo ulimuishia akanyanyua kofi but alilirudishia njiani, nili imagine baadae hilo bao lingenipata sijui ningedondokea wapi, kuna piga nyingine si masihara, huyu rafiki yangu ninaemsemea alipigwa kama kibaka, hapana yule mr wake alimpania ausee, but mpaka leo kidomo domo alichokuwa nacho kimeisha kabisa kabisa, sijui kipigo kimemfundisha ustaarabu ama. mcng u sana sana my dearest.

Haha sawa Sisy yaani umepotea sana aisee. Kwema lakini? Karibu tena mamito.

Huyo shosti wako naona alirekebika but mh! Yataka moyo aisee.
 
Kwa hiyo mwalimu ishu kumbe sio kibao bali ni kile mtu alichoaminishwa kuhusu kibao au sio? Sasa kama hivi ndivyo kwa nini wewe unadhani kwamba kumuaminisha mtu kuwa kupigwa kibao ni tatizo ndiyo sahihi na siyo the other way round?
 
Matola ..unajiona upo right bu kwa kipindi hiki ya totally wrong my friend. think twice!! utakuwa mtu wa kukimbiwa daily
Aisee Kiswahili kigumu sana, hivi unaweza kunionesha katika post zangu zote ni wapi niliposema nimepiga mwanamke? kama unaleta topic huku ukiwa na msimamo wako ni useles, na nimeona wengi waliochangia hapa ni wavivu wa kufikiri, mimi kuongea bila unafki kile ninachokijuwa basi watu wananirisha maneno kwamba nimesema nimewahi/au huwa napiga wanawake. someni vizuri anachoandika mtu na muelewe.
 
mie naona kuna wanajifunza baada ya kipigo na kuna wanao kuwa sugu, na hiyo piga za kila siku mie huwa sielewi kabisa, nakumbuka kuna siku tulikorofishana na msukuma nadhani uzalendo ulimuishia akanyanyua kofi but alilirudishia njiani, nili imagine baadae hilo bao lingenipata sijui ningedondokea wapi, kuna piga nyingine si masihara, huyu rafiki yangu ninaemsemea alipigwa kama kibaka, hapana yule mr wake alimpania ausee, but mpaka leo kidomo domo alichokuwa nacho kimeisha kabisa kabisa, sijui kipigo kimemfundisha ustaarabu ama. mcng u sana sana my dearest.

Nyamayao, MwanajamiiOne Hizi ndio nazozingumzia mimi, siyo unamfanya mwenzio ngoma lakini once in a while ikibidi unatoa discipline kidogo au sio.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka wewe utakuwa ni MKURYA wewe.....
Nina wasiwasi sana na uwezo wako wa kupambanua mambo kwa kutumia fikra pevu na upembuzi yakinifu, kama wewe huwezi kumvulilia binadamu mwenzako hususan mwanamke basi wewe utakuwa una udhaifu mkubwa katika ubongo wako...

Uliyosema inawezekana ni kweli kabisa. Wakurya wanapenda sana kuwadhalilisha wake zao. Miaka mingi kidogo niliishi Temeke Mtaa wa Uzuri kwenye nyumba ya vyumba sita na mimi nikiwa na chumba kimojawapo kati ya hivyo. Kijana moja wa Kikurya alikuwa anampiga sana mke wake halafu anamvua nguo zote kabisa na kumtupa nje ya chumba chake na kufunga mlango kwa ndani. Nilikuwa sijawahi kuona ukatili wa ain hiyo maishani mwangu.
 
Aisee Kiswahili kigumu sana, hivi unaweza kunionesha katika post zangu zote ni wapi niliposema nimepiga mwanamke? kama unaleta topic huku ukiwa na msimamo wako ni useles, na nimeona wengi waliochangia hapa ni wavivu wa kufikiri, mimi kuongea bila unafki kile ninachokijuwa basi watu wananirisha maneno kwamba nimesema nimewahi/au huwa napiga wanawake. someni vizuri anachoandika mtu na muelewe.

Matola sasa unatukosea huwezisema alochangia ni mvivu wa kufikiri. Hapa kila mtu anaweka mtazamo wake juu ya kitu flani ambacho anakiamini yeye, so huwezimwita mvivu wa kufikiri kwa vile tu anayo imani au msimamo wake bwana!.
 
Haha sawa Sisy yaani umepotea sana aisee. Kwema lakini? Karibu tena mamito.

Huyo shosti wako naona alirekebika but mh! Yataka moyo aisee.

yataka moyo sio kidogo, mie nilienda hosp nikamsahau kabisa kwa jinsi alivyovimbiana, ilibidi nimtafute shem wangu nimuulize kulikoni, kwa maelezo yake rafiki yangu alimfanyia ukorofi uliopitiliza, sikupenda alivyomdunda na sikupenda kitu rafiki yangu alichomfanyia, hakuwahi kwenda hosp, mdada alitoka hosp akaenda kwao akidhani mwanaume atakuja kumchukua, hahahaha inakaribia kukatika mwezi nikamwambia wewe shtukaaaa, hahaha alipaki kilicho chake akarudi kwa mr wake, sasa hivi mstaarabu kuliko maelezo, basi tukitanianaga mr anakwambiaga nashukuru hata nilikuonjesha kidogo mke wangu, si unaona mapenzi yetu yalivyostawi,hahhahaha, MJ1 my dearest wacha tu, huku kwema majukumu majukumu tu, khaaa kweli mfululizo mae wangu.
 
Back
Top Bottom