Hivi hadi siku hizi kuna watu wanapiga wake zao?

Hiyo chini ina ukweli nusu nusu kwani si wote HAWAPENDI MAUMIVU. Kuna wengine wanapenda sana tu.

Kwa mfano Vibinti vya Kirusi (Saint Ivuga shahidi) akishafikisha ule umri, basi anajitahidi kila Jumapili asubuhi, kule chini kuna uma si kawaida kwa kipigo alichokipata jumamosi usiku. Na kuna wengine hata aliyemshushia kibondo hamfahamu kama siyo HAWAFAHAMU.

Utashangaa ikifika Jumamosi nyingine, Mdondo unajipeleka.

tumblr_lu05yj8YnH1qmmyeh.jpg

Binaadamu mwili wake haupendelei maumivu. Kwa hiyo unapokwenda kinyume na hapo ni katika kuvunja misingi ya kanuni za msingi za ubinaadamu wake.
 
Hi mada huwa inajirudia sana hapa jamvini mara kwa mara. Tushaidili sana huko nyumba. Wako wanaopiga wapenzi wao kwa madai ya kulinda hadhi na heshima. Wanaume wanaoamini hili wanadai kuwa endapo mwanamke ataonyesha dharau, kiburi, kutokutekeleza baadhi ya majukumu aliyokabidhiwa na mpenzi wake, basi ataadhibiwa kwa kipigo chochote kile ili kuilinda hadhi yake na heshima yake isije ikashuka katika jamii. Kimsingi hii inaweza kuwa ni mwendelezo wa mfumo dume.

Wapo wanaume wanapiga kwa hasira za karibu. Baadhi ya wanaume huchukia ghafla na kuwapiga wapenzi wao. Mwanaume wa aina hii akikutana na mwanamke anayependa kumtolea maneno machafu mume wake hapo kuna uwezekano mkubwa wa jamaa kupandisha hasira ghafla na kumpa kichapo. Wanaume wengi si watu wa kupenda kuongea sana, lakini wanawake hasa wa pwani wanapenda kuongea mno, per thread ya Dark City.

Wapo pia wanaume ambao wanapiga wapenzi wao kwa sababu tuu ya ulimbukeni, kuiga au kupata sifa za kijinga mbele ya wenzake au kujaribu kuonyesha kuwa ana mamlaka makubwa juu ya mpenzi wake. Mwingine anaweza akamuona Matola na mjasiria wanapiga sana wapenzi wao na bado wanaendelea kuwa pamoja, basi na yeye anaamua kumpiga mpenzi wake, ilimradi tu awe kama Matola na mjasiria jambo ambalo sio ujanja bali ni ulimbukeni.

Lakini wapo pia wanawake wanaopenda kupigwa. Mwingine anakuhudhihiria kabisa kuwa anataka kupigwa! Wapo wanaosema wanapenda kupigwa kudhirisha kama bado anapendwa na mpenzi wake. Tena huwezi amini hawa ni wanawake au mabinti wa kizazi cha leo. Wako baadhi ya wanawake au mabinti wanapenda na huwa wanalazimisha kupigwa kwa kufanya makosa maksudi kama njia ya kutaka kujua kama mpenzi wake anampenda.

Mpenzi wake asiponyanyua mkono, then anajua hapo hapendwi tena. Na kama mpenzi wake alikuwa na tabia ya kumpiga lakini baadae labda kwa kujifunza akaacha kumpiga ndio kabisaa. Ndiyo ataulizwa kama bado unanipenda mbona hunipigi tena unapohisi natembea na mwanaume mwingine? Karaa tupu!

Wapo pia wanawake au mabinti ambao wanaiga kupigwa/ulimbukeni. Wakisikia wenzao wakisimulia kuwa wamepigwa basi wanafurahi na kutamani na wao kupigwa. Basi watafanya kila wafanyalo au wawezalo ili kuhakikisha kuwa wanapigwa na wapenzi wao ili kujua ladha yake ikoje.Pia kuna suala suala la baadhi ya mabinti tena wa kizazi cha leo kutaka kuwa na the so called "bad boys" who beat them up and treat them like ****.

Sidhani kama wanawake wana-deserve kupigwa lakini, many women don't help themselves either. Wapo wanaume ambao huwa wanapiga defenceless women, lakini pia wapo wanawake who tease men into beating them up.
 
Hi mada huwa inajirudia sana hapa jamvini mara kwa mara. Tushaidili sana huko nyumba. Wako wanaopiga wapenzi wao kwa madai ya kulinda hadhi na heshima. Wanaume wanaoamini hili wanadai kuwa endapo mwanamke ataonyesha dharau, kiburi, kutokutekeleza baadhi ya majukumu aliyokabidhiwa na mpenzi wake, basi ataadhibiwa kwa kipigo chochote kile ili kuilinda hadhi yake na heshima yake isije ikashuka katika jamii. Kimsingi hii inaweza kuwa ni mwendelezo wa mfumo dume.

Wapo wanaume wanapiga kwa hasira za karibu. Baadhi ya wanaume huchukia ghafla na kuwapiga wapenzi wao. Mwanaume wa aina hii akikutana na mwanamke anayependa kumtolea maneno machafu mume wake hapo kuna uwezekano mkubwa wa jamaa kupandisha hasira ghafla na kumpa kichapo. Wanaume wengi si watu wa kupenda kuongea sana, lakini wanawake hasa wa pwani wanapenda kuongea mno, per thread ya Dark City.

Wapo pia wanaume ambao wanapiga wapenzi wao kwa sababu tuu ya ulimbukeni, kuiga au kupata sifa za kijinga mbele ya wenzake au kujaribu kuonyesha kuwa ana mamlaka makubwa juu ya mpenzi wake. Mwingine anaweza akamuona Matola na mjasiria wanapiga sana wapenzi wao na bado wanaendelea kuwa pamoja, basi na yeye anaamua kumpiga mpenzi wake, ilimradi tu awe kama Matola na mjasiria jambo ambalo sio ujanja bali ni ulimbukeni.

Lakini wapo pia wanawake wanaopenda kupigwa. Mwingine anakuhudhihiria kabisa kuwa anataka kupigwa! Wapo wanaosema wanapenda kupigwa kudhirisha kama bado anapendwa na mpenzi wake. Tena huwezi amini hawa ni wanawake au mabinti wa kizazi cha leo. Wako baadhi ya wanawake au mabinti wanapenda na huwa wanalazimisha kupigwa kwa kufanya makosa maksudi kama njia ya kutaka kujua kama mpenzi wake anampenda.

Mpenzi wake asiponyanyua mkono, then anajua hapo hapendwi tena. Na kama mpenzi wake alikuwa na tabia ya kumpiga lakini baadae labda kwa kujifunza akaacha kumpiga ndio kabisaa. Ndiyo ataulizwa kama bado unanipenda mbona hunipigi tena unapohisi natembea na mwanaume mwingine? Karaa tupu!

Wapo pia wanawake au mabinti ambao wanaiga kupigwa/ulimbukeni. Wakisikia wenzao wakisimulia kuwa wamepigwa basi wanafurahi na kutamani na wao kupigwa. Basi watafanya kila wafanyalo au wawezalo ili kuhakikisha kuwa wanapigwa na wapenzi wao ili kujua ladha yake ikoje.Pia kuna suala suala la baadhi ya mabinti tena wa kizazi cha leo kutaka kuwa na the so called “bad boys” who beat them up and treat them like ****.

Sidhani kama wanawake wana-deserve kupigwa lakini, many women don’t help themselves either. Wapo wanaume ambao huwa wanapiga defenceless women, lakini pia wapo wanawake who tease men into beating them up.
Nawasubili wale Ma Genius wetu hapa MMU waje kupingana na uchambuzi huu. EMT nimekugongea LIKE na nime approve reputation power kwako for this useful post.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wanawake akili mbovu sana mimi si mgomvi wala sipendi shali lakini MKE wangu akizingua uwa namshushia KIPIGO cha uhakika si unajua PUNDA haendi bila MJEREDI.
 
Wewe ndio umsome tena, na ikiwezekana vaa na miwani kabisa.

easy mkuu haya mambo hayataki jazba ujue!no wonder unashabikia hili swala i see!ila kubali ukatae mwanaume anayepiga mwanamke ni coward!A TRUE MAN CONFRONTS!AND DEMAND FOR EXPLANATIONS!
 
easy mkuu haya mambo hayataki jazba ujue!no wonder unashabikia hili swala i see!ila kubali ukatae mwanaume anayepiga mwanamke ni coward!A TRUE MAN CONFRONTS!AND DEMAND FOR EXPLANATIONS!
Huu ndio ujinga tunaopinga siku zote kuona unaloona wewe sahihi basi kila mtu akubaline nalo, sasa na mimi nikikwambia mwanaume anaepelekeshwa na mwanamke ni zezeta tu na msukule nitakuwa nakosea?
 
Huu ndio ujinga tunaopinga siku zote kuona unaloona wewe sahihi basi kila mtu akubaline nalo, sasa na mimi nikikwambia mwanaume anaepelekeshwa na mwanamke ni zezeta tu na msukule nitakuwa nakosea?

easy!easy!tupingane kwa hoja,sio nguvu baba!dah!
 
Sintoshangazwa na comment za wadada walio wengi hapa JF maana wengi wao ni wale wanaojiita Independent woman, mna kila sababu kuamini kile mnachoamini.

Kwa sababu kwa akili zenu mnadhani watu wote wanaishi Oysterbay, Masaki, Kinondoni, Mbezi Beach & likes, hamjawahi kuona maisha ya mama anaacha mtoto peke yake kukimbilia mdundiko. mimi natoka Uswahilini naongea through my experince kwa sababu naishi mazingira yote ya kishuwa na Thug Life.

Ndo shida ya mitoto iliyokua inaona mama yao anapigwa. Poor you do you think your Mum was enjoying it?
 
naona hata tusiende mbali kushusiana heshima ..mimi nitatetea wanawake ambao wengi wao hawapendi kupigwa katika ndoa zao. ila ambaye anapenda kupigwa ..inshallah apigwe tu ...mambo ya mimi ni ke ama me sio issue mimi naweza kuwa kitu chochote hapa so wewe chukua hoja na ujumbe.

Kwa hiyo mtu akidhani wewe ni ke basi anakuwa ameshakushushia heshima!!! Wonders shall never end.
 
Ila wewe ulimshuhudia Mama yako akileta mabwana nyumbani na Baba yako hana kauli siyo?

OH kumbe mumy yako alileta wanaume home. Na baba yako alivyompiga ulijisikiaje i think you were crying too"baba usimpige mama" lakini cha kushangaza unampiga mkeo sababu ulifurahia kuna mama yako anapigwa. Poorboy
 
easy mkuu haya mambo hayataki jazba ujue!no wonder unashabikia hili swala i see!ila kubali ukatae mwanaume anayepiga mwanamke ni coward!A TRUE MAN CONFRONTS!AND DEMAND FOR EXPLANATIONS!

Hizi standards huwa anaweka nani???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sometimes huwa najiuliza maswali nakosa majibu...........at least ungeandika a true man according to you and your school of thought. Halafu hata uki-demand explanation then what?
 
EMT

Hivi kuna mwanamme anayeweza kuja kusema amempiga mwanamke kwa sababu mwanamke alimlazimisha? Alilazimishwa vipi? Aliwekewa mtutu wa bunduki?

Kama mwanamme hataki hampigi mwanamke, na akimpiga maana yake ni kuwa dhamira alikuwa nayo, alikuwa anasubiri kisababu tu
 
Hizi standards huwa anaweka nani???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sometimes huwa najiuliza maswali nakosa majibu...........at least ungeandika a true man according to you and your school of thought. Halafu hata uki-demand explanation then what?

na ukishampiga unapata majibu!?
 
Back
Top Bottom