Hivi Global TV na bongomikasa TV ni mtu mmoja??

Jul 10, 2017
22
33
1) Hivi global TV na bongomikasa TV ni za nani?
2)Hivi faida (profits) za kuendesha TV kwenye mtandao iko je?????
3)Nikitaka kufungua yangu taratibu ziko vipi??????
4)Nitafurahi nikipata namba za simu za mmoja wao ili wanisaidie.
 
kuna moja kati ya

nadhani kunamojawapo ni ya millard ayo
 
Back
Top Bottom