Umejibu kwa hekima sana mkuu. Hongera kwa ilo.Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.
Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Ni vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.
Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Halafu tunatupiamo wote, bila kujali imani!Hujiulizi nani huwa anachinja kitimoto??
Ni vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.
Pia ktk uislamu mwanamke aruhusiwa kuchinja.
Unaweza itoa hiyo aya ...... au umenogewa na mada?Ni vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.
Pia ktk uislamu mwanamke aruhusiwa kuchinja.
Leta aya/verseNi vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.
Pia ktk uislamu mwanamke aruhusiwa kuchinja.
Hongera kwa hekima zakoWakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.
Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Namsubiri kwa shauku yote alete hizo methali zlizoziskia vijiweni na sio aya kwa sababu aya hiyo haipoLeta aya/verse
Hongera kwa hekima zako
Maa'ida: 5Leta aya/verse