eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Dini ni muongozo wa maisha ya binadamu
Muongozo huo unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi mfano ushirikina ni din ya kishetan na siyo sahihi.
Siyo sahihi narudia tenaUsiseme ushirikina sio sahihi, sema siyo imani yako, ni sahihi kwa waaminio.
Siyo sahihi narudia tena
Hivi unabatizwa na kukubali kuwa Askari wa Yesu Kristo na baadae unamkana!
Kuna watu wanatafuta kufanana na waarabu. Ndio hao wanafanya assimilation, tena ukikaa vibaya nadhani wanaweza hata kujichubua na kuweka nywele relaxer ili wafananie na waarabu kabisa.
Na kuna watu wanadeal na imani hawa wanajifunza mafunzo bila kutaka uarabu. Kuna uelewa mdogo sana wa imani Tanzania watu wanafanya ili kuonekana na sio kufuata usafi wa imani husika.
Ndio maana leo usishangae mtu anatumia ile kanuni ya wake wake wanne kufanya umalaya kwa uhalali wa dini ile hali imani yake imeelekeza kwa namna tofauti sana juu ya kuwa na wake wanne.
Hivi unabatizwa na kukubali kuwa Askari wa Yesu Kristo na baadae unamkana!
Raha gani. Dini Ni imani na imani ni matendo, nikiitwa Ndumilakuwili..kunashida gani. Kama nimuislimu na nafuata Dini.Unapobadilisha dini na ukabadilisha na jina kuna raha yake