Hivi course za Petroleum zinasomewa hapa Tanzania?

Hivi course za Petroleum zinasomewa hapa Tanzania?

Binafsi nmegraduate BSc Petroleum chemistry UDSM mwaka jana (2016), ila tumezagaa tu mtaani km taka za viroba vilivyokatazwa kuendelea kutumika.
Mbona naskia hawajamaa kazi nje nje,tena za mishahara mikubwa sana?
 
Binafsi nmegraduate BSc Petroleum chemistry UDSM mwaka jana (2016), ila tumezagaa tu mtaani km taka za viroba vilivyokatazwa kuendelea kutumika.
Huko kwenyw makampuni ya oil na gas wamejazana wanaijeria
 
Kasomee ualimu wa hisabati na sayansi hutojuta
 
Ebu acheni kupotosha mbona fani za petroleum watu wanatoka kimaisha.

Sasa wewe ona umepotoshwa...industry ime shake world wide..kampuni nyingi zimepunguza wafanyakazi tena experienced..ww uliye nje ya hii field huoni kilichotokea ndani ya kipindi cha hii miaka mi3...halafu ni vigumu kutanua kama anavyoweza fanya mtu wa chemical au mechanical..huo ndio uhalisia..kampuni nyingi hapa zimebakiza majengo tuu..kidogo downstream but bado nako ni issue kutoka
 
Back
Top Bottom