Hivi course za Petroleum zinasomewa hapa Tanzania?

Petrolium engineering-UDSM
Petrolium engineering-UDOM
Petrolium chemistry-UDSM
Petrolium geology-UDSM
Oil and gas Engineering-DIT

Kazi kwako
Hv kuna utofauti gani kati ya petroleum eng na petroleum geology?
 
HIZO KOZI NI NZURI UKISOMEA NJE YA NCHI KIBONGO BONGO NI KUKOMOANA TU UTAJIKUTA UNAKOMAA KUKARIRI KULIKO KUWA MTAALAMU.PILI FIELD HAKUNA MFANO MZURI UDOM WANAFANYIA FIELD LIBRARY.TATU LABDA UANDAE PESA BAADAYE UKIJIENDELEZE NJE BAADA YA KUMALIZA HAPA TZ.VINGINEVYO HUTAWEZA KUPAMBANA KWENYE SOKO LA AJIRA.KAMA VIPI TAFUTA KOZI YA PETROLEUM ECONOMY/MICRO ECONOMY
Petroleum intake ya kwanza washagraduate?
 
ELIMU Siku hiz ishakuwa ya ksengee ndo maana hata nikiwaona madogo hawapensi SHULE si walaumu sana Sabab unaweza ukakomaaa na ktabu lakn mwisho wa siku ukaja kuonekana FAMBA tu !!
 
Binafsi nmegraduate BSc Petroleum chemistry UDSM mwaka jana (2016), ila tumezagaa tu mtaani km taka za viroba vilivyokatazwa kuendelea kutumika.
Hii serikali ina viongozi incompetent sana. I blame them for all this ,
Science have never been prioritized.
 
Back
Top Bottom