Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

Hapo kuna mawili

Ukiona kapo ziko motomoto sana humu jeiefu, ujue hao watu hawajakutana laivu bado. Siku wakikutana na kukuta hawafanani kabisa na zile profaili pikcha wanazoweka humu mfano unakuta mdada kaweka picha ya beyonce kumbe yeye yupo kama whoopi goldberg, au mkaka kaweka picha ya will smith wakati ni kijeba kifupi, kina upara na sura kama mhogo mchungu, mahusiano huwa yanakatika ghafla na hautawasikia tena!!

Au wameshakutana na wamekulana, na kawaida watu wakishakulana ule msisimko kunakua hamna tena hapo kila mtu anaanza kutafuta sababu ya kumuacha mwenzake, atakaewahi kuipata ndio mshindi.
😂 😂 😂 😂 😂
Nimecheka sana walaqhi'..!!

Eti Laazizi Bufa hivi your expectations met the reality.???
 
Hapo kuna mawili

Ukiona kapo ziko motomoto sana humu jeiefu, ujue hao watu hawajakutana laivu bado. Siku wakikutana na kukuta hawafanani kabisa na zile profaili pikcha wanazoweka humu mfano unakuta mdada kaweka picha ya beyonce kumbe yeye yupo kama whoopi goldberg, au mkaka kaweka picha ya will smith wakati ni kijeba kifupi, kina upara na sura kama mhogo mchungu, mahusiano huwa yanakatika ghafla na hautawasikia tena!!

Au wameshakutana na wamekulana, na kawaida watu wakishakulana ule msisimko kunakua hamna tena hapo kila mtu anaanza kutafuta sababu ya kumuacha mwenzake, atakaewahi kuipata ndio mshindi.
Umenikumbusha demu wangu wa chuo nlikuwa natamani kumuacha ila alishanitambia "sijawahi kuachwa na manaume mimi" so siku ya siku nikamwambia bibi aomba uniache ili nisivunje rekodi yako ya kutoachwa :D :D :D :D
 
Hapo kuna mawili

Ukiona kapo ziko motomoto sana humu jeiefu, ujue hao watu hawajakutana laivu bado. Siku wakikutana na kukuta hawafanani kabisa na zile profaili pikcha wanazoweka humu mfano unakuta mdada kaweka picha ya beyonce kumbe yeye yupo kama whoopi goldberg, au mkaka kaweka picha ya will smith wakati ni kijeba kifupi, kina upara na sura kama mhogo mchungu, mahusiano huwa yanakatika ghafla na hautawasikia tena!!

Au wameshakutana na wamekulana, na kawaida watu wakishakulana ule msisimko kunakua hamna tena hapo kila mtu anaanza kutafuta sababu ya kumuacha mwenzake, atakaewahi kuipata ndio mshindi.
Oyaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom