Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

Ziliishia hapo hapo zilipoanzia,
Ila mkuu hizo no personal ishu za watu achana nazo
 
Habari zenu.
mwaka 2016 kulikuwa na couple humu zenye mbwembwe sana ila ghafla mwanzoni mwa 2019 zikaanza kififia na mwaka 2020 zikapotea kabsa na sasa sioni watu wakiandikiana maneno mazuri kwenye siku zao za kuzaliwa kama zamani.
kipindi hicho kila mmoja humu alikuwa na mpenzi humu,
je nini kitokea mpaka couple nyingi humu kuyeyeyuka na zilizopo zinapumlia gesi maana sioni zile amsha amsha kama za kipindi hicho.
Je ni vyuma kukaza, wengi wameachana, au ulikuwa utoto unawasumbua na sasa wamekua au zilikuwa mbwembwe zisizo na uhalisia.
wikiendi njema.
Nilibahatika kupata demu mmoja humu! Viatu vya..cjui alikua anaugua pumu au lah! Nlimtandika mikwaju ya maana nkaona anakidude cha kuongeza pumzi! Mpka Leo cjajua a see! Hizi takataka za kuokota humu jaman Mungu tu anasaidia! Vijana wenzangu tuache mserereko na kupenda vya bwerere! Wengi humu na kule kwenye mitandao pendwa ni waathirika! Tuwe makini japo nyege hazina mjanja! Nb; ndom 2 kwa tendo moja mana hawana alama!
Najua yupo humu na wengi hampendi ukwel! Ova!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom