Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,758
2,000
Habari zenu.

Mwaka 2016 kulikuwa na couple humu zenye mbwembwe sana ila ghafla mwanzoni mwa 2019 zikaanza kufifia na mwaka 2020 zikapotea kabsa na sasa sioni watu wakiandikiana maneno mazuri kwenye siku zao za kuzaliwa kama zamani.

kipindi hicho kila mmoja humu alikuwa na mpenzi humu,.

Je, nini kilitokea mpaka couple nyingi humu kuyeyeyuka na zilizopo zinapumlia gesi? maana sioni zile amsha amsha kama za kipindi hicho.
Je, ni vyuma kukaza, wengi wameachana, au ulikuwa utoto unawasumbua na sasa wamekua au zile zilikuwa mbwembwe zisizo na uhalisia?

Wikiendi njema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom