R.I.P mkuu...Ntaanza kwenda kavu kavu tu aisee maana this is too much now.
nawasilisha rambirambi zangu mapema sana kwakoNtaanza kwenda kavu kavu
Kumbe ushakua siku hizi, eeh!??? Jitahidi kutubu aisee maana umekua vibaya ujueKuna siku niliingia pharmacy nikakuta kuna watu wengi wanapiga story na wengine wanapiga kelele za hapa na pale nikamwambia kwa sauti ya juu mhudumu"nipe kondom",kulitanda ukimya ambao siyo wa nchi hii.
Yaani una demu na unaishi kwa wazazi?Mara ya pili na dondosha pact la condom mbele ya wazazi yaani mpaka wazazi washahisi napenda sana K .. Hii kitu ina aibisha sana sometimes. Juzi kati
Mkuu nilitumwa!🤣Kumbe ushakua siku hizi, eeh!??? Jitahidi kutubu aisee maana umekua vibaya ujue
Kuna siku niliingia pharmacy nikakuta kuna watu wengi wanapiga story na wengine wanapiga kelele za hapa na pale nikamwambia kwa sauti ya juu mhudumu"nipe kondom",kulitanda ukimya ambao siyo wa nchi hii.
Mkuu ulivyoangusha kikao hakikuhairishwa..?
Kama ningalikuwa mimi mwenyekiti ningalihairisha..nasema tu "Jamani si mnaona dharura hiyo haya kila mmoja akajimwaemwae!" Sasa usiombe ukutane na wenyeviti wanoko hapo italetwa mpk meza kuu!.. kikao kinazaa kikao..