Hivi condom zina nini lakini?

dracular

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
737
1,036
Habari za wakati huu ndugu zangu?

Niende kwenye maada moja kwa moja
Swala la kujilinda ni la muhimu sana kwa kila mtu tena ni jambo lililo jema kabisa ila sasa hivi kwanini condom hupenda sana kudondoka mbele za watu tena wale wa heshima?

Mara ya pili na dondosha pact la condom mbele ya wazazi yaani mpaka wazazi washahisi napenda sana K .. Hii kitu ina aibisha sana sometimes. Juzi kati hapa nilimpaga mrembo mmoja kwenda kumchapa tulikuwa na kakikao ka ukoo mida flani sa nikawa natoa leso mfukoni ghafla pact la condom likadondoka chini pwaaaa!!

Tena mbele ya ukoo mzima aisee.. Ntaanza kwenda kavu kavu tu aisee maana this is too much now.

Sio kila mtu ajue unachofanya bana
 
Broo kwanza hongera kwa kutumia condom. Pili futa kauli kuwa wazazi watakuona kuwa unapenda K” wakati ww unazipenda kweli sio swala la kufikiriwa. Lakukushauri hapa endelea nazo kwakuwa side effect ya kuziangusha mbele ya watu sio kubwa kama balaa la kula kavu visonono, gono, pangusa, kaswende, ukimwi nk.
 
Mkuu ulivyoangusha kikao hakikuhairishwa..?
Kama ningalikuwa mimi mwenyekiti ningalihairisha..🤣 nasema tu "Jamani si mnaona dharura hiyo haya kila mmoja akajimwaemwae!" Sasa usiombe ukutane na wenyeviti wanoko hapo italetwa mpk meza kuu!.. kikao kinazaa kikao..🤣
 
Hahaha hilo ni ttzo lako pekee siyo kwa Wote, Wengine ttzo inakutwaga Imebaki 1 hapo ndo uanze kufafanua 2 zimetumika wp?
 
Kuna siku niliingia pharmacy nikakuta kuna watu wengi wanapiga story na wengine wanapiga kelele za hapa na pale nikamwambia kwa sauti ya juu mhudumu"nipe kondom",kulitanda ukimya ambao siyo wa nchi hii.
Kumbe ushakua siku hizi, eeh!??? Jitahidi kutubu aisee maana umekua vibaya ujue
 
Mkuu tatizo sio kondom kupenda kuanguka, tatizo ni wewe unaziweka au kutembea nazo bila umakini.
Pia kama umejioa wewe ni mzembe wa kuzihifadhi basi fanya uwe unanunua mda ule mda unapokweda site ndo unapitia dukai au unanunua palepale karibu kwenye lodge zote huduma ya ndom huwa ipo, na ukimaliza kujirusha hata kama ulitumia moja zikabaki 2 tupa zote hukohuko.
Naamini ukafanya hayo hiyo kadhia hutokuja kuipata tena!
 
Mimi kwenye walleti yangu sikosi condom hata siku moja,kwa sasa najua kuna zile kula tunda kimasihara,na hata kazini wanajua ukitaka condom za practical utazipata kwangu,najipenda na ndo maana natembea nazo
 
Mkuu ulivyoangusha kikao hakikuhairishwa..?
Kama ningalikuwa mimi mwenyekiti ningalihairisha.. nasema tu "Jamani si mnaona dharura hiyo haya kila mmoja akajimwaemwae!" Sasa usiombe ukutane na wenyeviti wanoko hapo italetwa mpk meza kuu!.. kikao kinazaa kikao..
ila wee mtu lol.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom