Hivi " clown" kwa Kiswahili ni nini?

Hahaha mchekeshaji wa watoto anayevaa kiucheshi.... Kwa hapa DSM nawaonea huruma, wanafanya hio kazi kwa sababu ya shida za maisha. Wanaungua na jua na wanatembea kwa huzuni. Kwa mfano mlimani city na Quality plaza.
 
Hukuna jina rasmi la kiswahili ila wanaitwa jamaa wa "vichekesho", wachekeshaji, hata joti na mpoki ndio walianzia huko kwa kujipaka masizi kichwani, kufunga vile na kujaza matambara ya tumbo na mzigo!.
 
Mtu anayefanya kazi maalum ya kuchekesha kama akina baba "kachupi" wa Bongo! (mchekeshaji).
clown
[klown]
noun (plural clowns)
1. comic circus performer: a comic performer, usually in a circus, who does not speak and wears an outlandish costume and heavy makeup
2. somebody funny: somebody who behaves comically
3. prankster: a practical joker
4. ill-mannered person: an ill-mannered or ineffectual person (informal)
intransitive verb (past and past participle clowned, present participle clown·ing, 3rd person present singular clowns)
Microsoft® Encarta® 2009. © 1993-2008 Microsoft Corporation. All rights reserved.
 
Hukuna jina rasmi la kiswahili ila wanaitwa jamaa wa "vichekesho", wachekeshaji, hata joti na mpoki ndio walianzia huko kwa kujipaka masizi kichwani, kufunga vile na kujaza matambara ya tumbo na mzigo!.

Mkuu jina nimeshalileta. Ni jina la enzi toka vitabu vya Bulicheka!
 
Clown=Is a performer in circus who wears funny clothes and bright make-up...may be in order to make people laugh. Ujoti tu nothing else

2cn9gft.jpg
 
chale....damisi/mcheshi.....mpumbavu.....mtovu wa adabu.......
source....TUKI..
 
Inategemea unataka maana ipi. Neno hilo lina maana kadhaa katika lugha ya Kiswahili ikiwa ni pamoja na mcheshi, chale, damisi, mpumbavu au mtovu wa adabu.
 
Nadhani kwenye tungo zako ili ikae vizuri bora umuite jina ambalo halitumiki siku hizi MWANASESERE...
 
Hukuna jina rasmi la kiswahili ila wanaitwa jamaa wa "vichekesho", wachekeshaji, hata joti na mpoki ndio walianzia huko kwa kujipaka masizi kichwani, kufunga vile na kujaza matambara ya tumbo na mzigo!.

Wachekeshaji ni comedians
 
Clown kwa kiswahili ni jokeli. Kwa uelewa wangu mdogo wa Kiswahili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom