Hivi " clown" kwa Kiswahili ni nini?

Kikaragosi ni puppet nadhani joker inakaribiana na clown more. Labda tujaribu kutofautisha kati ya comedian na clown. Comedian ni mchekeshaji anayetumia maneno hata kwa kuigiza. Clown mchekeshaji wa watoto anayeweza kutumia vitu mavazi na maneno kidogo. Clown haitaji maneno kuchekesha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom