Hivi CHADEMA bado wapo?

Mkuu ni yule mdogo wako anayesoma jangwani sekondari.

Kwa bahati mbaya sana sijawahi kuwa na ndugu huko usemako ila jawabu lako linawiana na upeo wako kwa asilimia zote kinyume kabisa na uwiano kati ya mwili wako na akili yako.
 
Ndani ya CCM ni raha tupu - kweli kijana anafaidi



Unaliona Zombie hilo...huwezi kuwa na akili timamu kwa kichwa na uso wa namna hii....
Kama vile ana Down syndrom....
 

Haya ni matatizo ya kufanya kazi ya ukuli hadi uzeeni akili inachoka na mwisho unabakia kuwa mpiga dili za matatizo ya watu (misiba)
 

Si nilisikia wamebadili jina la chama na kinaitwa UKAWA siku hizi
 
Ipo hivi ww mleta uzi, CDM imepanda kitu ndani ya akili za watu.Kwa mfano hata ikipotea kesho,IMPACTS yake ni kubwa sn ktk jamii.Unataka kuiona? Subiri utakuja kukubali mwenyewe hapa.Sehemu yoyote ile ambapo democrasia inakandamizwa kwa nguvu ya dola IPO SIKU WANYONGE watakataa,ndo kinachokuja mbele ya safari.

Nani asiyejua kuwa upande wa pili wa shilingi wanatumia MAMBO YASIYOSTAHILI KATIKA KUENDELEA KUTAWALA?

Jiulize na tafakari.

Mie nipo serikalini na naliona hili ingawa sijihusishi na politics.
 

Mkuu umenichekesha sana, eti chadema mpango wa Mungu wakati viongozi wanavunja ndoa za watu ambazo zimeunganishwa na Mungu, sijui Mungu wao kabila gani?!.
 
Magamba mtaweweseka Sana,maana mnaona jahazi menu linazama kwa Kula hatua inayopigwa na UKAWA.2015 magamba kwaherini mtuwachie Tanganyika yetu.
 
CHADEMA bado ipo? wapi? Mbona makamanda tupo kila pembe ya ardhi hii KG ndo usiseme.Endelea kujifariji hewani
 
ccm maana yake tumbo mbele maendeleo nyuma, nani hajui hilo? Achenikuwalaghai watanzania
 
Tokea kuanza kwa upinzani, ilishawahi kutokea ziara ya chama cha mapinduzi ndefu kama ya mwaka huu? Inayofanya na uongozi wa kitaifa tena nchi nzima?
 
Lukosi, pesa za rambi rambi vipi?
Mbona ana ongelea mambo mengine tu. mjane vipi? alishapata haki yake,Lukosi baki ccm huko utalindwa km wezi wenzio wanavyolindwa maana ccm ni genge la wahalifu.mafisadi,wazinzi, majangili(kinana)Wauza madawa yakulevya,walarushwa.chadema ipo ww piga box ukirudi utaikuta.
 
Hivi mtu unauliza chadema wapo una akili timamu kweli,alafu eti ni mpango wa Mungu au lah,kamuulize kikwete na Vicky kamata
 
Mkuu umenichekesha sana, eti chadema mpango wa Mungu wakati viongozi wanavunja ndoa za watu ambazo zimeunganishwa na Mungu, sijui Mungu wao kabila gani?!.

kumbe ni ndoa tu inavunjwa!vipi nyie mnaoua,kung'oa kucha na kutesa viumbe walioumbwa na Mungu mwenyewe?kwani Mungu wenu ni kabila gan?maana kwa jins mlivyo wabaguzi gamuishi kutaja kabila kwa kila liwatokalo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…