Hivi CHADEMA bado wapo?

Hivi CHADEMA bado wapo?

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,947
Ndugu zanguni,

Kama ilivyotabiriwa, CHADEMA ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa CHADEMA ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwenda wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa UKAWA.

JITAMBUENI MBULUMUNDUS
IMG_9927.JPG
 
CHADEMA bado wapo sana tu, kwenye hili la katiba mpya na safari ya kuelekea uchaguzi Mkuu 2015 CHADEMA, CUF na NCCR wameamua kuunganisha nguvu katika kupambana na Serikali dhalimu inayotaka kuchakachua maoni ya Watanzania kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba. Siku zote kumbuka kwamba UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU hii ndio sababu kubwa ya vyama hivi vitatu kuamua kuunganisha nguvu.
 
Political Natural death. Siku hizi hakuna hata Peoples Power tena kwenye mikutano yao.

Hata kwenye makabrasha ndani ya ofisi zao za Ufipa, Kinondoni utakuta neno UKAWA limeanza kuonekana mara nyingi zaidi la neno CHADEMA.

Tulikuwa tunawasikia wakisema CHADEMA ni mpango wa Mungu, kwa sasa hao hao wameanza kusema UKAWA ni mpango wa Mungu. Yaani Mungu wao hafahamu hata yupi ndiyo mpango wake kama wanataka kutuaminisha kuwa CHADEMA bado ni hai.
 
Ndugu zanguni,

Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.

JITAMBUENI MBULUMUNDUS
IMG_9927.JPG

Wewe ndio haujitambui kabisa Mwigulu amefanya Ziara huko UK zaidi ya 2 lakini katika picha zote sijawahi kukuona je huwa haualikwi? au wewe Uanachama na ushabiki wako kwa CCM unaishia humu JF tu na hakuna mwanaCCM yeyote anayekutambua kuanzia walioko huko na waliopo huku, au wanaogopa kujidhalilisha kutokana na kazi ya ukuli unayofanya huko?

Katibu wa CCM shina la Birmingham na Mwenyekiti wa kamati ya Maadili tawi la Uingereza Bi. Lilian Barongo akiwa pamoja na Mwenyekiti shina la Northmpton Dr. Abdalah Saleh na Bi. Rose Kiputa Katibu Shina la Cardiff – Wales

.Baadhi ya Viongozi na wanachama wa chama cha mapinduzi tawi la Uingereza wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa St. Patrick Jijini Leicester wakisubiri kuwasili kwa Naibu Katibu Mkuu CCM TAIFA Mh. Mwigulu Nchemba.
IMG_4611.JPG

Mtaiombea sana kifo CHADEMA lakini kamwe haitakufa kwa dua za mafisadi. Kama mlishindwa kuimaliza kwa propaganda zenu chafu za "CHADEMA chama cha kikabila" "CHADEMA chama cha wakristo" "nina ushahidi utakaokubalika hata mbinguni CHADEMA ni chama cha magaidi" basi mjue fika dua zenu chafu zimegonga ukuta Mungu kazikataa.
 
Ndugu zanguni,

Kama ilivyotabiriwa, Chadema ndio inayeyuka kama barafu juani . Wengi tuliyajua haya lakini makamanda viroba wakabisha kwa matusi marefu marefu, lakini sasa nadhani nao wameanza kuamini kuwa chadema ni kama ngoma wa mdundiko tu, haieleweki inakwendfa wapi na sasa mwisho wa ngoma umefika wanajibanza kwa ukawa.

JITAMBUENI MBULUMUNDUS
IMG_9927.JPG

Mi nadhani you are looking at it all the wrong ways, and you are not seeing the big picture here! Watanzania hawahitaji CHADEMA, wanahitaji mabadiliko. Sasa kama yatakuja kupitia nini, that does not matter.

Kwa sasa tunahitaji kuona tunapata system mpya itakayokua na majibu ya matumaini kwa maisha yetu kama wananchi.

**Tunahitaji system itakayotuhakikishia huduma za afya zilizoboreshwa mpaka na hao wanafiki waanze kutibiwa nchini. **System itakayosimamia matumizi sahihi na makusanyo sahihi ya kodi za wananchi, ikizingatia kuwapunguzia mzigo usio wa lazima

**System itakayowahakikishia wamanchi elimu bora yenye kumsaidia anayeipata, badala ya huu unafiki wa sasa wa wao kukimbiza watoto wao nje, huku wakiwaambia watu shule zetu ni nzuri

**System itakayowapa wote haki, hata wale ambao ni wahalifu, na siyo hii ya sasa ambayo haiwezi kuwatendea haki hata wasio na makosa.

Tunataka mabadiliko yatakayotutoa kwenye huu utawala wa watu wenye tamaa za fisi na uroho wa nguruwe. Just MABADILIKO. it doesn't matter yanatoka wapi. Hatujali kama kinachotufikisha huko kitaitwa CHADEMA, JAMII MPYA, MTI MKAVU au nini sijui. What matters is ustawi wa maisha ya Watanzania. And that is what this big picture is all about!
 
Yaani utabaki kuioa cdm wakati ile ni roho yenye kiu.ulizoea kuiona kwenye koti la chadema sasa imekuja na joho unahema subiri siku ikija na combat utajuta.mwulize kinana na nape kwa nini hawakai na familia zao na bajeti ya kuzunguka waliipanga lini?
 
Wamejificha kwenye kivuli cha UKAWA wanataka kubadili jina, walitaka kujiita M4C ikashindikana sasa wanataka kujiita UKAWA
 
Mi nadhani you are looking at it all the wrong ways, and you are not seeing the big picture here! Watanzania hawahitaji CHADEMA, wanahitaji mabadiliko. Sasa kama yatakuja kupitia nini, that does not matter.

Kwa sasa tunahitaji kuona tunapata system mpya itakayokua na majibu ya matumaini kwa maisha yetu kama wananchi.

**Tunahitaji system itakayotuhakikishia huduma za afya zilizoboreshwa mpaka na hao wanafiki waanze kutibiwa nchini. **System itakayosimamia matumizi sahihi na makusanyo sahihi ya kodi za wananchi, ikizingatia kuwapunguzia mzigo usio wa lazima

**System itakayowahakikishia wamanchi elimu bora yenye kumsaidia anayeipata, badala ya huu unafiki wa sasa wa wao kukimbiza watoto wao nje, huku wakiwaambia watu shule zetu ni nzuri

**System itakayowapa wote haki, hata wale ambao ni wahalifu, na siyo hii ya sasa ambayo haiwezi kuwatendea haki hata wasio na makosa.

Tunataka mabadiliko yatakayotutoa kwenye huu utawala wa watu wenye tamaa za fisi na uroho wa nguruwe. Just MABADILIKO. it doesn't matter yanatoka wapi. Hatujali kama kinachotufikisha huko kitaitwa CHADEMA, JAMII MPYA, MTI MKAVU au nini sijui. What matters is ustawi wa maisha ya Watanzania. And that is what this big picture is all about!
Taratibu mnaanza kuiona kuwa CHADEMA si lolote tena
 
Jana CHADEMA ilikuwa Bahi na mikutano 4 na mh. jj mnyika alifanya mikutano Kondoa kusini ni ya CHADEMA siyo UKAWA
 
Wamejificha kwenye kivuli cha UKAWA wanataka kubadili jina, walitaka kujiita M4C ikashindikana sasa wanataka kujiita UKAWA
Mkuu, Stephen Wassira aliposema kuwa CHADEMA kitakufa 2014 hawakumuelewa. Sasa kila kitu hadharani
 
Umenikumbusha mbali sana, hivi ni kweli jamaa alifyeka rambirambi ya marehemu D.M.?
Usahihi, aliyefyeka rambirambi ni Mchungaji Msigwa. Hilo Chris alilitolea maelezo
 
Jtatu imefika....vichenchede vya ccm vimeanza na upuuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom