Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini?

Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini?

Tatizo la Tanzania ni elimu,Elimu, Elimu. Na REDET walishawahi kusema kuwa CCM inaungwa mkono na watu wenye uelewa wa hali ya chini wa hali ya mambo hasa walioko vijijini!!

Kilewella, wewe umepitwa na wakati kweli kweli. Kuutafuta ukaskazini kwenye chadema kama ingekuwa kutafuta madini, basi huna haja ya kufanya explolation, upo waziwazi tu. Huku kwingine lazima uchunguze sana kama ulivyokimbilia kwenye baraza la mawaziri unakuja na viji element. Huna tofauti na waliomwambia Baba wa Taifa wakati wa uongozi wake kwamba baraza lake la mawaziri limejaa wakatoliki, laikini badaye, wakakuta ni yeye Nyerere na sir George Kahama ndio wakatoliki. Au tuwaombe REDET hata kwenye hili!
 
CCM ndicho chama pekee cha kila Mtanzania. Vyama vingine ni. SACCOS za wachache

Huyu jamaa dhaifu sana, hivi kweli anapoiangalia top layer ya CCM inaweza kuwa na sifa sawa na CDM kweli?
 
hebu tuondolee unafiki wako hapa.

Kitendo cha kusema kuna Kaskazini halafu kuna Kaskazini ya "ukanda" hizo ni fikra za kibaguzi. Maana wenzako hawajui kama Handeni nayo ni Kaskazini, Halafu Maneno gani yanayosemwa na wakina mbowe ambayo yanapalilia UKANDA?

Unakumbuka baada ya Mkuu wa Mwaka 2010 Kikwete aliwahi kusema kwamba kwenye uchaguzi ule alibaguliwa kutokana na dini yake? Ghafla akasahau kwamba aliyesema kwamba yeye ni "chaguo la Mungu" alikuwa ni Mkristu Mkatoliki Askofu Methodius Kilaini! Yale maneno yaliashiria kwamba Kikwete alibaguliwa na Wakristu. wewe unaamini kuwa wakristu walimbagua Kikwete kwenye uchaguzi wa 2010? CCM mnapotaka kusambaza sumu yenu ya kibaguzi huwa hamna haya wala aibu!!
 
ama kweli hawa jamaa hawana hata mshipa wa aibu.
halafu wanajiita chama cha kitaifa! maajabu haya.

Kampeni za uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini umezidi kudhihirisha ukanda ndani ya CHADEMA.

Mgombea wa Handeni Mjini aliachwa bila msaada ukilinganisha na mgombea wa Arusha Mjini.

Viongozi wote wakuu wa CHADEMA kama Mbowe wakiongozwa na mwanachama maarufu, Lowassa akishirikiana na Sumaye walipiga kambi Arusha Mjini kumsaidia 'mtu wa kwao' katika kampeni huku yule asiye 'wa kwao' kule Handeni akiachwa bila msaada.

Huhitaji kuingia darasa kufahamu ubaguzi unaofanywa ndani ya CHADEMA based on place where you come from or born! Umuhimu wa mwanachama ndani ya CHADEMA unatokana na sehemu unayotoka.

Mambo yanayofanyika ndani ya CHADEMA huwezi kuyakuta ndani ya CCM.

CHADEMA is not fit for purpose and institutional prejudiced!
 
ngoja nikusidie we mpuuzi. jaji mkuu wa Kikwete alikuwa agustino ramadhani mchungaji wa kanisa la angilikana kutoka kule zanzibar kabla ya Jaji othman chande, CAG alikuwa loduvixk uttoh mchaga, mkiristo protestant kutoka kule rombo kabla na Prof. Asad, Dr. Ramadhani Dau mkurugenzi wa NSSF aliteuliwa na mkapa mkirsto mkatoliki wa kule kusini, waziri wa mambo ya nje wa Kikwete alikuwa bernard membe, mkristo, mkatoliki wa huko kusini.
hapo sijaongelea makatibu wakuu viongozi wote wawili kipindi cha Kikwete, balozi philemon luhanjo na balozi ombesi sifue, wala mkuu wa majeshi devi mwamnyange na wengine tele kila idara.
ama kweli wewe ni bwe'ge.

hakuna wadini kama ccm,rais akiwa muislam atahakikisha kamati kuu ya ccm inakuwa kama kamati ya ujenzi wa msikiti,jk alilazimisha jaji mkuu,jaji kiongozi,CAG kuwa waislam japo hawakuwa na sifa hizo.kuna mawaziri mizigo kama kawambwa na ghasia waliwekwa pale sababu ya dini zao,mambo ya nje,nssf,mambo ya ndani ni kama msikiti.magufuli nae ameanza kufuata nyayo.asilimia kubwa ya teuzi zake za karibuni ni kama kamati ya baba paroko na hajawasahau wanakanda ya ziwa wenzake
 
"UKANDA" tofauti na kwenye mikutano ya kampeni ya ccm sijawahi kusikia hilo neno sehem nyingine yoyote
 
Abunuas unajua maana ya mnafiki. Mimi natumia jina halisi hata unavyoniita mnafiki watu wanaonifahamu wanajua kama mimi ni mnafikI au sivyo. Sasa wewe ndugu yangu kuwa jasiri jitaje na wewe ni nani ili tujue ni mnafiki au siyo. Hapa Iringa Mjini CHADEMA imeshinda udiwani viti 14 kati ya hao hakuna mchaga au mtu wa Kaskazini hata mmoja. sasa nyie mnaosema kuwa CHADEMA ni cha watu wa Kaskazini si ndiyo wanafiki maana Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa ni Mchaga! CCM ni MAKABURU
 
yako maneno ya mwalim nyerere lau wanaccm wangekua wanayasikiliza na kuyatafakar leo wasingehubir huo ujinga wao wa ukanda na ukabila.nyerere mwaka 95 alisema wazi chama kikishafirisika kisera au kwa kushindwa kutekeleza maendeleo ya wananch na kikajua hakina sera ya kuwaeleza wakiamin wakipe uongozi na kinataka bado kuwatawala ili kijinufaishe kitatumia njia ya kuwagawa kwa udin au ukabila.chama hicho kimefirisika ni cha kuogopwa na hatar sana kwa taifa.sasa yametokea kwa ccm mwalim aliona mbali.hivi huyo mchaga sio mtanzania?viongoz tunaowataka niwakutumikia watanzania au kwenda kutambika?ccm mumekosa sera.na nathubutu kusema lau kuu ingekua halali bas ingekua thawabu kumuacha nyoka aende zake porin ukauwa wana ccm.
 
Kuna siku ukweli utajidhihirisha hata kama ccm watajifanya majuha kwa sasa.
 
CDM ni chama cha kaskazini
kusibitisha hilo angalia viti maalum chadema wanakskazini wametoka kwao wamekwenda kupewa viti maalum angali morogoro kuna devota minja, zanzibar bila kusahau ruvuma huko kote wenye asilia y mikoa yao wanapigwa chini wanakaskazini wanapewa nafasi.

Hali ni tofauti na ccm ambayo imejikita mikoa yote na ina mtandao mpana kila pembe ya nchi.
 
ngoja nikusidie we mpuuzi. jaji mkuu wa Kikwete alikuwa agustino ramadhani mchungaji wa kanisa la angilikana kutoka kule zanzibar kabla ya Jaji othman chande, CAG alikuwa loduvixk uttoh mchaga, mkiristo protestant kutoka kule rombo kabla na Prof. Asad, Dr. Ramadhani Dau mkurugenzi wa NSSF aliteuliwa na mkapa mkirsto mkatoliki wa kule kusini, waziri wa mambo ya nje wa Kikwete alikuwa bernard membe, mkristo, mkatoliki wa huko kusini.
hapo sijaongelea makatibu wakuu viongozi wote wawili kipindi cha Kikwete, balozi philemon luhanjo na balozi ombesi sifue, wala mkuu wa majeshi devi mwamnyange na wengine tele kila idara.
ama kweli wewe ni bwe'ge.

Nijibu nssf ni shirika au msikiti?kamati kuu ya ccm ni kamati ya kwenda maka au,jaji jundu hata kuandika ruling hawezi,ikulu ya jk ilijaa maustaadhi kama saudia,nyerere na mkapa nao walifanya tanzania kama ubalozi wa vatcan,sasa tanzania inarudi tena kuwa vatcan
 
kusibitisha hilo angalia viti maalum chadema wanakskazini wametoka kwao wamekwenda kupewa viti maalum angali morogoro kuna devota minja, zanzibar bila kusahau ruvuma huko kote wenye asilia y mikoa yao wanapigwa chini wanakaskazini wanapewa nafasi.

Hali ni tofauti na ccm ambayo imejikita mikoa yote na ina mtandao mpana kila pembe ya nchi.

Angalia hata safu nzima ya uongozi kama utamkuta mtu wa kusini. mgombea uspika, naibu spika mgombea uraisi
 
Kitendo cha kusema kuna Kaskazini halafu kuna Kaskazini ya "ukanda" hizo ni fikra za kibaguzi. Maana wenzako hawajui kama Handeni nayo ni Kaskazini, Halafu Maneno gani yanayosemwa na wakina mbowe ambayo yanapalilia UKANDA?

Unakumbuka baada ya Mkuu wa Mwaka 2010 Kikwete aliwahi kusema kwamba kwenye uchaguzi ule alibaguliwa kutokana na dini yake? Ghafla akasahau kwamba aliyesema kwamba yeye ni "chaguo la Mungu" alikuwa ni Mkristu Mkatoliki Askofu Methodius Kilaini! Yale maneno yaliashiria kwamba Kikwete alibaguliwa na Wakristu. wewe unaamini kuwa wakristu walimbagua Kikwete kwenye uchaguzi wa 2010? CCM mnapotaka kusambaza sumu yenu ya kibaguzi huwa hamna haya wala aibu!!

kaka una akili sana na uwezo wako wa kutafakari ni mzuri, haupo biased kama wengi wanao toa comment hapa, kuna kada wa ccm jina lake lusinde alikua akisema waziwazi kabisa alipokua akipiga kampeni kanda ya ziwa "wanasema rais hawezi kutoka usukumani lakini mimi nawaambia rais lazima atoke usukumani" ili apate kura za wasukumana hili watanzania hawalioni na hawatakaa walione, yaani tanzania ni nchi yenye watu vipofu,vipofu hadi basi mimi nilishaacha kutaka maisha bora kwa kila mtanzania, nataka maisha bora kwangu na kwa familia yangu, maana watanzania hawataki maisha bora
 
allen wewe ni mnafiki tu. haijalishi umekuja na id yako halisi au feki. michango yako inajieleza zaidi, na wala sibahatishi ninachokisema.

Abunuas unajua maana ya mnafiki. Mimi natumia jina halisi hata unavyoniita mnafiki watu wanaonifahamu wanajua kama mimi ni mnafikI au sivyo. Sasa wewe ndugu yangu kuwa jasiri jitaje na wewe ni nani ili tujue ni mnafiki au siyo. Hapa Iringa Mjini CHADEMA imeshinda udiwani viti 14 kati ya hao hakuna mchaga au mtu wa Kaskazini hata mmoja. sasa nyie mnaosema kuwa CHADEMA ni cha watu wa Kaskazini si ndiyo wanafiki maana Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa ni Mchaga! CCM ni MAKABURU
 
mkuu wewe ni mlutheri?1 nauliza tu!

Nijibu nssf ni shirika au msikiti?kamati kuu ya ccm ni kamati ya kwenda maka au,jaji jundu hata kuandika ruling hawezi,ikulu ya jk ilijaa maustaadhi kama saudia,nyerere na mkapa nao walifanya tanzania kama ubalozi wa vatcan,sasa tanzania inarudi tena kuwa vatcan
 
allen wewe ni mnafiki tu. haijalishi umekuja na id yako halisi au feki. michango yako inajieleza zaidi, na wala sibahatishi ninachokisema.
Noa kwanza uwezo wako wa kuelewa halafu ujifunze kujenga hoja. Nimesema mimi ni rahisi kusema kama ni mnafiki au la kwa kuwa natambulika na inawezekana kuna watu humu JF wanaweza kutoa ushahidi katika hili. Lakini wewe?

Halafu kwa sisi wengine tunaamini kuwa sifa za mnafiki ni tatu... unadhani mimi ninazo hizo sifa. Kama ninazo kivipi?
 
Back
Top Bottom