Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini?

Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini?

Kampeni za uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini umezidi kudhihirisha ukanda ndani ya CHADEMA.

Mgombea wa Handeni Mjini aliachwa bila msaada ukilinganisha na mgombea wa Arusha Mjini.

Viongozi wote wakuu wa CHADEMA kama Mbowe wakiongozwa na mwanachama maarufu, Lowassa akishirikiana na Sumaye walipiga kambi Arusha Mjini kumsaidia 'mtu wa kwao' katika kampeni huku yule asiye 'wa kwao' kule Handeni akiachwa bila msaada.

Huhitaji kuingia darasa kufahamu ubaguzi unaofanywa ndani ya CHADEMA based on place where you come from or born! Umuhimu wa mwanachama ndani ya CHADEMA unatokana na sehemu unayotoka.

Mambo yanayofanyika ndani ya CHADEMA huwezi kuyakuta ndani ya CCM.

CHADEMA is not fit for purpose and institutional prejudiced!

Kumbe mkuu weye huelewi yaliokuwa yakitafutwa pale Arusha? CCM wangelitwaa Arusha, hata majimbo mengine yote walioyatwaa wangesahau maumivu. Ndo maana nao wakaipeleka kamati yenye nguvu kinana & co. Ndo maana wakapeleka mikoba yao ya kutosha pale kuwahonga wana Arusha. Ndo maana wakajitahidi saana kuonesha ati Lema hafai. Tangu kipigo chao kwa yule waliyempeleka ubalozi hawajasahau maumivu.
Ka weye ni mfuatiliaji, huwezi linganisha Arusha na Handeni kwa vyovyote vile. Acha siasa kabisa nenda kwenye mipasho yenu ya pwani. Tunajua wazi kuwa; Hakuna WADINI na UKABILA na UFISADI woote ka CCM. Huwa mnatutupia madongo sisi tukianza kujichunguza nyiye mnaingia ndani zaidi kwa nguvu za dola. Nadhani, woga unawajia mkisikia mtu analeta thread yenye mashiko ka huyu aliye wafunua. Msiogope, bado cdm inapendwa. Ishateka Mbeya, sio kaskazini tu, imeshaweka angalao kamzizi Pwani. Taratiib tu, sindano itawaingia, msilieeeee
 
Ditopile Mzuzuri alikuwa akibaguliwa na wana CCM wenzake akaamua kuongeza jina la Ramadhani Mwinshehe ndo akaanza kuchanua ndani ya chama la sivyo angeishia kuwa mishen town
 
Hata wewe naona una matatizo. Kwenye chaguzi hizi ni lazima kufanya tathmini ya kila sehemu
je kuna wanachama wangapi? Je wananchi wanakikubali chama kwa asilimia ngapi? Hapo ndio mtu unaamua kuwekeza kwa nguvu zote au kiasi tu! Ukiwekeza kwa usawa hutakaa upate ushindi!

Kampeni za uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini umezidi kudhihirisha ukanda ndani ya CHADEMA.

Mgombea wa Handeni Mjini aliachwa bila msaada ukilinganisha na mgombea wa Arusha Mjini.

Viongozi wote wakuu wa CHADEMA kama Mbowe wakiongozwa na mwanachama maarufu, Lowassa akishirikiana na Sumaye walipiga kambi Arusha Mjini kumsaidia 'mtu wa kwao' katika kampeni huku yule asiye 'wa kwao' kule Handeni akiachwa bila msaada.

Huhitaji kuingia darasa kufahamu ubaguzi unaofanywa ndani ya CHADEMA based on place where you come from or born! Umuhimu wa mwanachama ndani ya CHADEMA unatokana na sehemu unayotoka.

Mambo yanayofanyika ndani ya CHADEMA huwezi kuyakuta ndani ya CCM.

CHADEMA is not fit for purpose and institutional prejudiced!
 
Kampeni za uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini umezidi kudhihirisha ukanda ndani ya CHADEMA.

Mgombea wa Handeni Mjini aliachwa bila msaada ukilinganisha na mgombea wa Arusha Mjini.

Viongozi wote wakuu wa CHADEMA kama Mbowe wakiongozwa na mwanachama maarufu, Lowassa akishirikiana na Sumaye walipiga kambi Arusha Mjini kumsaidia 'mtu wa kwao' katika kampeni huku yule asiye 'wa kwao' kule Handeni akiachwa bila msaada.

Huhitaji kuingia darasa kufahamu ubaguzi unaofanywa ndani ya CHADEMA based on place where you come from or born! Umuhimu wa mwanachama ndani ya CHADEMA unatokana na sehemu unayotoka.

Mambo yanayofanyika ndani ya CHADEMA huwezi kuyakuta ndani ya CCM.

CHADEMA is not fit for purpose and institutional prejudiced!

Hiki unachokisema wewe ni kwa mujibu wa siasa zenu za kipuuzi huko ccm. Huyo mgombea wa cdm mimi ni rafiki yangu, na hapo siku za nyuma niliwahi kwenda kumtembelea na kumuunga mkono huko handeni. Ni hivi huko Handeni ni wale waliodanganywa na kupandikizwa siasa za kipuuzi za ccm kwamba cdm ni chama cha wachaga. Kwa masikio yangu nimewasikia watu wa handeni wakisema cdm ni chama cha wachaga. Nikauliza kwani wanasema ni chama cha moshi eti kisa wanasema mwanzilishi ni mchaga, sasa ukiwauliza kuna chama kisicho na muanzilishi dunia hii wanakaa kimya. Wengi hawana maelezo ya kutosha bali ni neno liko kwenye bongo zao. Cha kushangaza sasa huko kilindi zamani ilikuwa Handeni kabla ya kugawanywa wachaga wengi tu wameuziwa mashamba na wenyeji, maeneo yale wameyabadilisha na sasa wanatoa mazao mengi ya kilimo kama ndizi nk na kulisha jiji la Dar. Wenyeji wasiojitambua wamebaki kusema cdm ni chama cha wachaga, kumbe ilikuwa ndio mahali pa kuona basi wachaga ni watu wa maana kama wameweza kugeuzwa jangwa lao na kuwa lenye kilimo kikubwa vile.

Ukienda Handeni bado waliowengi wana maisha magumu na tatizo lao kubwa ni uwezo wa kujitambua. Kule bado ushirikina ni kitu cha maana. Watu wanajitokeza kwenye maendeleo kwa shida sana bali ni ombaomba sana. Huyo Kigoda ameweza kukaa madarakani muda mrefu kule kwa ajili ya uelewa finyu wa watu wa maeneo yale. Pale kwake imekuwa kama sehemu ya kusaidia watu hela za chakula. Sasa unajiuliza yeye alikuwa na uwezo alishindwa nini kununua matrekta na kuwakopesha vijana wangalau 20 ishirini wakalime na kulipa hayo matrekta baada ya kuvuna? Unampa mtu hela ya chakula na nyingine kidogo ya kwenda kumuagua mtoto kwa ajili ya ushirikina huoni ni vichekesho. Mimi nilitarajia angewaambia vijana oneni wageni wamekuja na kugeuza ardhi kwa kilimo, nyie mnatumia kutengeneza dawa za ushirikina sasa wanalima na ardhi inatoa mazao na wao wahamasike iwe chachu ya kubadili maisha yao na taifa kwa ujumla. Wao walichoshikilia ni siasa za chuki na ukabila na hivyo kuendelea kutawalia na ukoo. Ila sio vibaya maana wajinga ndio waliwao, bora waendelee kulala ili wenye akili wapate ardhi huko kwa kirahisi.
 
Hii ccm ni ile wazee wako waliianzisha au ccm maslahi? CCM ya kurithishana. Baba, mjomba, shangazi, mtoto na maswahibs ktk uongozi. Je, hiyo ndiyo ccm unyoijua wewe kweli.Maana mtu husifia alichokikuta hata kama hajui asili yske. Kalaga baho.
Wewe unayejifanya unaijua CCM ulikuwa na miaka mingapi wakati TANU na ASP walipoamua kuungana? Tuanze hapo kwanza ili tuweze kwenda sambamba.
 
Mleta mada Allen Kilewella, wala usihofu mambo ya Udini, Ukanda Ukabila na mengine ya kipumbavu yanayofanana na hayo aliyaleta Mkwere ili kuficha udhaifu wake.

Nina hakika kabisa yatakuwa yameondoka naye, ni swala la muda tu. Nikuulize, nje ya siasa ni wapi umeshasikia mambo hayo ya kijinga?
 
Last edited by a moderator:
Wewe unayejifanya unaijua CCM ulikuwa na miaka mingapi wakati TANU na ASP walipoamua kuungana?
Duniani kuna watu wawili tu ambao ni maarufu kuliko mtu yeyote yule aliyewahi kuishi, Yesu Kristu na Mtume Mohamed S.A.W. hao wote waliishi zaidi ya miaka Elfu moja iliyopita, lakini waliishije ishije inafahamika hata kwa watoto wenye umri wa miaka kumi, itakuwa hicho chama chenu kilichoanzishwa hata miaka hamsini hakini!! Tatizo lenu ni Elimu, Elimu, Elimu!!
 
Duniani kuna watu wawili tu ambao ni maarufu kuliko mtu yeyote yule aliyewahi kuishi, Yesu Kristu na Mtume Mohamed S.A.W. hao wote waliishi zaidi ya miaka Elfu moja iliyopita...
Jibu swali wewe na sio kuleta upuuzi wako. Unafikiri nani hajui hayo uyasemayo?
 
Tatizo la Tanzania ni elimu,Elimu, Elimu. Na REDET walishawahi kusema kuwa CCM inaungwa mkono na watu wenye uelewa wa hali ya chini wa hali ya mambo hasa walioko vijijini!!

Pamoaja na redet kuwa na lengo zuri....hizi kauli mnazoendelea nazo za kuwasakama masikini wasiosoma ndio inafanya cdm isikubalike maeneo hayo....badala mtafute njia za kuwashawishi bila kukata tamaa mnaendelea kuwakejeli....ndio maana wanakumbatia ccm yao isiyowatukana
 
Ni kweli ccm haiwatukani kwa kuwaambia ukweli unaouma ili wabadili maisha yao lakini ccm inawatukana kimaisha. Ardhi zao sasa hivi wanazimiliki kama wakimbizi, kila leo tunaona ugomvi wa ardhi kisa mtendaji aliye chini ya ccm kauza kinyemela. Mahitaji muhimu kama maji, afya na elimu bora imebaki ni wimbo mtamu wakati wa kampeni. Yaani matatizo hayo yamegeuka kama ndio wimbo wa kuwapigia bao. Na ili kudhihirishiwa kuwa hizo ahadi watatimiziwa wakishatoa kura hupewa khanga, kofia, tshirt, sukari na kuhitimisha na pilau la nguvu. Wapinzani ambao wanaambiwa ni wakabila wakija eti wanapanda majukwaani mikono mitupu wanamwaga sera. Thubutu, kuna mwanakijiji anajua sera ni nini? Mwanakijiji anachojua ni ale ashibe apate na nguo mpya hapo kamaliza. Jaribu kuangalia sehemu za watu walikopata elimu ama ufahamu wa kutosha kama ccm inashinda ama kushinda kwa kishindo. Leo hii majiji makubwa yote ccm wanageuka kuwa wapinzani kwani watu wameelimika na sasa wamehamasika kupiga kura. Leo mtu wa mjini au aliyeelimika utamjia na mapambio ya eti mgao wa umeme ni historia wakati huo wimbo kauzoea na samaki wake wameoza kwenye jokofu. Elimu bure kwa mtu aliyeelimika au wa mjini anajua ni kiini macho wakati hata serekali haijui mahitaji ya shule husika na watoto wa wanaohubiri hiyo elimu bure wanasoma ulaya?
 
Maelezo marefu bado hujajibu hoja.....ni kwamba imeshindikana kabisa kuwavutia hawa watu waweze kuelewa zaidi ya kuwatukana?....

Labda hawaoni tofauti yenu na ccm.....maana wa ccm ndio hao wamehamia cdm.....kana kwamba viongozi wazuri huandaliwa ccm kisha nyie mnawanyakua.
 
mcubic kwani huo umaskini wao umesababishwa na CHADEMA au CCM? Mipango mibovu ya CCM kuhusu elimu si ndiyo imewafanya wao kutokusoma. Yaani mtu akisema kuwa Kikwete anapenda Maskhara atakuwa anamdhalilisha? Na kwa kuwa kuna kanuni inasema "Utafiti hupingwa kwa utafiti" na kwa kuwa mimi sijafanya utafiti wa kuupinga utafiti wa REDET kwamba CCM huchaguliwa na watu wasiosoma hasa walioko vijijini, basi hoja hiyo ya REDET itabakia halali.

Sasa wewe Rungu hapo ndiyo umeuliza swali gani!! Yaani unataka kuwaambia watu wanaosema kuwa Uhuru wa Tanganyika umepatikana mwaka 1961 basi na wao ni lazima wawe walikuwa ni watu wazima wakati huo ndiyo wawe na haki ya kuzungumzia jinsi uhuru ulivyopatikana. Kisayansi hiyo hoja yako ina mashiko kweli?
 
Kwa jinsi safu ndani ya Chadema Uongozi na Sekretariat ilivyo na hao Wanachama wapya walivyo na hadhi Inafikia pahala watu kusema ni Kundi ama kikundi cha watu kutoka sehemu fulani ya Nchi ndiyo wenyewe wenye Chama .Na mashaallah kidogo wamepata vijisenti wengineo wanaonekana si cho chote Na humu Jf kwa kuandika mambo ya kufikirika ndiyo wenyewe .Inafikia Umma kuja na hitimisho ni Chama cha sehemu fulani.Kujua wao kukosoa wao kusema wao haki ya kuongoza watanzania wao
 
Tatizo la Tanzania ni elimu,Elimu, Elimu. Na REDET walishawahi kusema kuwa CCM inaungwa mkono na watu wenye uelewa wa hali ya chini wa hali ya mambo hasa walioko vijijini!!

Hili ni rahisi kulithibitisha kwa kuangalia viongozi wake wa juu kama ni wenye elimu ukilinganisha na Chadema!Angalia mgo,bea urais wake alikuaje!,then tuambie hicho kigezo cha REDET kama hawakukosea kukifafanua, hao watu wa hali ya chini vijijini ni wangapi na mjini ni wangapi??hakuna pahala wanaungwa mkono chini ya asilimia 50 zaidi ya Arusha kilimanjaro na Pemba
 
...Sasa wewe Rungu hapo ndiyo umeuliza swali gani!! Yaani unataka kuwaambia watu wanaosema kuwa Uhuru wa Tanganyika umepatikana mwaka 1961 basi na wao ni lazima wawe walikuwa ni watu wazima wakati huo ndiyo wawe na haki ya kuzungumzia jinsi uhuru ulivyopatikana. Kisayansi hiyo hoja yako ina mashiko kweli?
Kipindi chote hicho nilikuwepo na ndio maana nimeuliza swali. Hamna cha kisayansi wala nini. Hebu jaribu kujibu swali kwanza ili tuweze kwenda sambamba; na sio kubaki kuzungusha mikono na kuropoka bila tija.
 
Rungu mbona mantiki ndogo tu unashindwa kuielewa? Kumwambia mtu asiielezee CCM eti kwa kuwa hakuwepo wakati inaundwa ni kiwango cha chini sana cha kujenga hoja. Ndiyo maana nikakwambia kwamba hoja yako hiyo kisayansi inakataliwa. Si lazima mtu awepo ndipo ajue kwamba nyerere alipokelewa na "wazee wa Dar es salaam" bali ni kusoma tu vitabu vilivyoandikwa na Mohamed Said na utalijua hilo!!
 
Sina haja ya Mohamed Said hata kidogo. Ninachotaka ujibu swali kwanza ili tujadili ukabila na udini ndani ya CCM vs Chadema kama ulivyoleta mada. Unanielewa?
 
Back
Top Bottom