Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini?

Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini?

Mwenyekiti jpm - kanda ya ziwa
Naibu bara m. Nyerere -kanda ya ziwa
Msemaji masatu.-kanda ya ziwa

Orodha hii ingekuwa kwa Cdm ingeitwa ukanda but kwa sasa iko sehem mbaya ukiita ukanda wanasema uchochezi

Na cha ajabu watakuja hapa na hoja kwamba unajadri ukanda karne hii.

Huku wakisahau wao washaishikia bango cdm kuwa kina ukanda.

.ccm bana akil zenu zinawatosha wenyewe tu.
 
Hivi CCM hawana UKANDA, wao si wadini? Waulize UAMSHO wana jibu sahihi.
 
atakayesema CCM kina UKANDA na UDINI watanzania hawatamuelewa. mimi mwenyewe sikuelewi. Bila CCM tungeshaparaganyika. Chama waongoze nchi si ikulu inaweza kuhamishiwa kaskazini

Labda kama unamaanisha ile CCM ya zamani; si hii ya sasa hivi.
 
Af na ww unajiita GT dooh hapo ndo Namkumbukaga maddam wang Asina Omary mlimani pale alikuaga anasema kwamba nchi hii ina shda kubwa sana
 
Angalia hata safu nzima ya uongozi kama utamkuta mtu wa kusini. mgombea uspika, naibu spika mgombea uraisi
Kugombea upinzani si kila MTU anataka. Kama umepevuka kiakili utaelewa muulize Kitila Mkumbo.Kina gharama za aina nyingi mgombes mwenyewe anazibeba na hutaraji kushinda. Huko uspika au unaibu wanatekeleza tu process hutsrajii kushinda kwa idadi iliyopo tuache simu za nyoka upinzani kukua ni jambo zuri sio bays Mimi ni ccm zaidi yako sifanyi upumbavu wsko
 
unataka tutoke kwenye mjadala twende kwenye kutukanana?
 
Back
Top Bottom