Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Hahaha! Aisee huu usuluhihishi ni shida.
Hahaha! Aisee huu usuluhihishi ni shida.
Hawataki kubadilikaUko sawa mkuu, asa wengine sijui wana imani gani
Aisee!Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumua huko uvunguni kuona zipo ngapi na chini ya godoro ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
Nilienda weekend nimezichoma moto. Na ukiendelea na hiyo tabia nitakurudishia kishika uchumba
Unawazimu wewe sio bure.Wewe unaweza kupata maana ni shoga
Kijana vipi?Nahisi kuna vivulana hapa vinakupigia misele huku nikikuona it's a matter of time watacheza heko 💔💔!! I'm not insecure my angel but oh Lord, my heart keep spinning every time I see that guy so called RRONDO akijifanya eti ndugu yako! Is he?
Aisee!
Binamu hujambo
Hapa sina binamu!
Sijambo binamu, naomba ufike na kwangu nijue kuna boxer ngapi uvunguni!Binamu hujambo
Usijali binamu, nije liniSijambo binamu, naomba ufike na kwangu nijue kuna boxer ngapi uvunguni!
Heri tu laaziz wanguAleyku salaam mpenzi uko poa?
Usijali binamu, nije lini
punguza wivu binamuHivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi? - JamiiForums
Nahisi kuna vivulana hapa vinakupigia misele huku nikikuona it's a matter of time watacheza heko !! I'm not insecure my angel but oh Lord, my heart keep spinning every time I see that guy so called RRONDO akijifanya eti ndugu yako! Is he?Wasiwasi wako tu baby huyo ndugu yangu...www.jamiiforums.com
Nimeghairi, usije!