Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Wewe piga mpaka iweke kidoti, yani, pale kwenye exhaust inapopumulia paweke kidot(sijda)
 
Asubuhi nikioga nafua naanika, navaa nyingine jioni nikioga naifua navaa nyingine.... Siwezi kuvaa boxer mara mbili aisee...
 
Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumua huko uvunguni kuona zipo ngapi na chini ya godoro ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
Aisee!
 
Nahisi kuna vivulana hapa vinakupigia misele huku nikikuona it's a matter of time watacheza heko 💔💔!! I'm not insecure my angel but oh Lord, my heart keep spinning every time I see that guy so called RRONDO akijifanya eti ndugu yako! Is he?
Kijana vipi?
 
Back
Top Bottom