Na vest pia, mara moja,Wanaume wengi wao wachafu kumbe, boxer ivaliwe siku moja tu
Uko sawa mkuu, asa wengine sijui wana imani ganiNa vest pia, mara moja,
Sox mara moja,
Kwenye kabati boxa zisipungue 10
Vest 10, sox pea 10, n.k
mmetisha kwa uchafuKama umeoa ni moja kwa siku.
Kama hujaoa, unavaa mpaka ukipata kazi unanunua mpya ya zamani unatupa. Siku ukipata kazi tena unatupa hiyo unanunua mpya.
Changamoto ni pale unapata kazi ya kushtukiza, nilishawahi kutupa boxer kwenye dustbin ya hotelini kabla, sikumbuki ilikuwaje.
Nusu sikuSwali kwa wadau wote wa boxer.
Swali jepesi sana.
Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu
Kuwa mkwelii tu
View attachment 1103899