Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,034
3,479
Swali kwa wadau wote wa boxer.

Swali jepesi sana.

Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu

Kuwa mkwelii tu

FB_IMG_1558458597315.jpeg
 
Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumua huko uvunguni kuona zipo ngapi na chini ya godoro ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom