technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,711
- 58,835
Sina Kazi mkuu Ajira rais wako si kasitisha Kazi yangu ni hii tu mpaka Ajira zitakapotoka...Mkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
akiingia Lowasa madarakani mwaka 2050 atamsamehe huyo mlawiti na mbakaji.Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..
Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .
He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.
Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.
Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.
Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.
Nimekumiss sana Babu Seya..
Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!
Lakini wezi kama Yona ni sawa tu kuwaachia?Mkuu hebu kuwa serious
Huyo jamaa ana kesi ya ulawiti wa watoto wetu..Tena anafaa aozee jela milele
Hilo kosa alilofanya halipaswi kuvumiliwa kwenye jamii yetu
Avune alichopanda
Na wewe kama unammisi babu seya mlawiti unatia shaka
Mkuu ameshaexhaust remedies zote! Mpaka mahakama ya rufani imemtia hatiani! Maamuzi ya mahakama ya rufani huwa sio ya kubeza mkuu, ingawa nao ni binadamu ila wale wazee huwa wanatulia sana wakitoa maamuzi yao! Tuache siasa, hazina faida!Duniani hakuna haki kaka haki iko mbinguni,
Mungu ndiye anajua amempangia nini babu Seya km ni wa kutoka basi atatoka km ni wa kuozea jera basi ataozoea huko yote yamepangwa na Muumba
Lakini wezi kama Yona ni sawa tu kuwaachia?
yule mzee seya ana kosa..he did it....alifanya kosa...tatizo tunapenda sana siasaMkuu ameshaexhaust remedies zote! Mpaka mahakama ya rufani imemtia hatiani! Maamuzi ya mahakama ya rufani huwa sio ya kubeza mkuu, ingawa nao ni binadamu ila wale wazee huwa wanatulia sana wakitoa maamuzi yao! Tuache siasa, hazina faida!
Nyimbo zake mkuu juzi nilikuwa club moja nyimbo zake kumbe bado zinapendwa sana zinapigwa club sanaKesi ya wizi wa pesa inasameheka coz pesa inatafutwa lakini so heshima dignity ya mtu once destroyed haitakuja irudi na ndo sababu hatuwez kumsamehe babu seya
Af na wewe katika watu wote dunian hapa umekosa wa kummic mpk ukammic huyo mlawiti wa watoto.....
Mbona unarecall ya lema tu? U recall za tundu lissu za bulaya na wapinzani walioshindwa kesi?Chombo huru kama mahakama.........recall kesi ya Lema kisha sema tena