Hivi Baadhi Ya Wanawake Wana Pee Ktk Pants Zao??

Duh Im tryng to see wadada wanavyo jaribu ku critisize ukweli kuficha aibu wakati hii inawahusu na wengine walipo isoma wakajiguza kama wamelowa teh teh thanks HMS
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: HMS
Duh Im tryng to see wadada
wanavyo jaribu ku critisize ukweli kuficha aibu wakati hii inawahusu na
wengine walipo isoma wakajiguza kama wamelowa teh teh thanks
HMS

Ni kweli mkuu.
Mimi nina dada yangu ambaye hii kitu umtokea pale anapocheka sana! So mimi ninawashangaa wale wanaokanusha hili.
 
Last edited by a moderator:
Umesema stori,na sio ukweli itabaki kuwa hadhiti ya kale.Sio kweli..Kwani kazi ya valve za kibofu ni nini??It's just logical
 
Back
Top Bottom