Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

Walinzi usiku hasa wa maduka niliwahi kuongea Na mlizi mmoja akawa anasema usiku kichaa analala kibalazani akimshika tu nakupima oil kichaa miguu manuu katulia tuli kama sio yeye Jamaa anawatandika so mchezo kashakula hadi wanachuo walevi enzi ya bilcanas ifm kunajengo lilivunja likawekewa uzio anakwambia watoto wakalii kukikucha pombe zikiwatoka wanashangaa wame lala kwenye banda mlinzi
Ni kweli walinzi hasa wa kwenye maduka ndo wagongaji wakubwa wa machizi, pale mitaa ya kisutu jirani na kisutu sekondari kuna mlinzi mmoja tulishamzoea ukipita ucku unakuta yuko na chizi baada ya muda wanapotea wote
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..
Nachokiona Mimi binadamu hatuna huruma kabisa,,yaani binadamu tumejitoa ufahamu kabisa..ilihali binadamu wenye akili timamu wanalalamika maisha ni magumu,,vipi sasa kwa huyo mwenye upungufu wa akili atadumu vipi katika maisha na mwanae..
 
Kuna kichaa mmoja huwa yupo Maganzo(Shinyanga) watu walikuwa wanasimulia tu kuwa kuna washikaji hasa wamgoni Mwadui,Kuna
tuliskia kelele fulani hivi amazing Mpangaji mmoja akasema mbona ni kama kelele za yule kichaa tukashauriana tukashuhudie ni nani huwa anamla huyo kichaa, tulichokikuta ni yule mme wa mpangaji mwenzetu ndiye alikuwa amelala kifuani mwa kichaa huku kiuno kiki move up and down...

Na mkewe alikuja kushuhudia au
 
MWANAUME akiwa na. NYEGE ni zaidi ya KICHAA... hao wote wanapewa mimba na watu ambao ni wazima wa afya na akili timamu..... Kama wanapewa mimba na vichaa wenzao ni Lini wameonekana wakifanya mapenzi? Maana Kama wanapewa na vichaa wenzao lazima watakuwa nafafanya Hata MCHANA kweupe si lazima wasubiri USIKU
 
Uzuri wa ile kitu ikishaingia hata chizi anatulia na kupona kwa muda kwanza, na hata siku nyingine ukikutana naye barabarani lazima akuchekeechekee maana anakumbukia utamu uliompa...
 
Nenda kwa mganga ukiwa na shida ya ubunge au ukurugenzi ama unawindwa na magu ndo utajua kwa nn vichaa wanapata ujauzito
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..
Unamjua mtu anaitwa Mungu? kwahiyo fanya kazi zako kijana.
 
Tueleze sababu kwanini ulikuwa unamuangalia kila ukipita?vipi alikuwa anakuvutia kidogo?mbona inaonekana kama umeumia yeye kupata ujauzito na sasa unatafuta mbinu kijanja ili nawewe ukipata mwanya uweze kufanya yako?acha kumkaribisha shetani kwenye maisha yako,wanaofanya nao mapenzi ni watu wenye akili zao timamu kama wewe na walianza na vijiswali kama vya kwako na hatimaye wakafanya yao..
 
Wengine hulala na vichaa kutimiza masharti ya mganga
Waganga kama hao watakutega waone kama utakubali wanajua huna akili hivyo wanaanza kukutapeli tuu. Mwenye akili hawezi kukubali sharti hili la kula papuchi haijui hata maji.
 
KWANI WAO SIO BINADAMU MBONA MNALETA UBAGUZI WA KIPUUZI , UKICHAA NI UGONJWA KAMA YALIVYO MAGONJWA MENGINE SASA KAMA MKE WANGU ALKUWA MZIMA BAADAE AKACHIZIKA NTASHINDWAJE KUMBANDUA KAMA KAWAIDA ACHANE HIZO BINADAMU WOTE NI SAWA MBELE ZA IUSO WA MUNGU
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..
Nature hufuata mkondo wake bila kujali akili ya kiumbe katika kuzaliana.Vichaa kwa vichaa hukutana na kupeana vituz.Kuna watu wenye akili timamu pia hujisevia vichaa wakiwakuta faragha. Wengine kwa kuwa hawana uwezo wa kuwashawishi watu wazima huona fursa ni kwa vichaa kutoa hamu zao.Watu wengine wanaongozwa na imani potofu za kishirikina kuwalala vichaa ili mambo yao yawe mazuri.
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..
Nilisoma na mtoto ambaye mama yake ni kichaa wa majalalani.Huyo mwanafunzi alikuwa rafiki yangu sana na alikuwa na uwezo mkubwa darasani wa kumudu masomo.Hakulelewa na mama yake
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..
Kwa kweli kila kiumbe hai kina sifa ya kuzaliana no matter hakina akili.Kuna samaki ambao hawana ubongo lakini wanazaliana.Kuna viumbe hawana sehemu za siri lakini wanazaliana.
 
Back
Top Bottom