Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

Nilipata kusikia miaka ya 1990s kuna mlemavu wa akili kule Makambako Njombe alipewa ujauzito akajifungua mtoto na akawa anamlea vizuri kabisa, cha kushangaza akawa anamwosha maji ya baridi bombani na mji ule ni wa baridi kali sana, baadaye alipobaini wanawake wa pale mjini wanataka kumnyang'anya mtoto, akawa anafanyia shughuli zake za usafi - kumwosha mtoto, kufua nguo zake na kuzianika kituo cha police

Aiseeeee mpk nimepata baridi,,,,,,na lile baridi la makambako jmn mtoto aliteseka dohhh
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa


Ni Kama wanaposikia Njaa, au Kiu ya Maji au Usingizi au Baridi au Jua Kali wakakaa Kivulini, au Uchovu ukawakuta wamepumzika Kivulini na Chupa ya Maji waliyopewa na wasamaria wema/wapita Njia na Boflo la Mkate wakitafuna ....Ndivyo hata Hamu ya kufanya Mapenzi huwapata wanapopata faragha na kushawishiwa kufanya hivyo!! Maumbile yao kibaolojia ndiyo huchochea hamu ya kufanya Mapenzi na kinachowafanya wawe tofauti ni afya ya akili tu lakini sehemu nyingine Zote za Mwili zinafanya kazi kama wewe unayesoma Comment Hii.Wanachokosa ni asilimia fulani ya akili inayotunza Kumbukumbu, au control ya kufanya mambo aukuratibu matukio na speeches zao ....Sehemu ya akili inayohusika na Tafsiri (interpretations) na hivyo wanasikia sauti lakini wanashindwa kutafsiri, wanaona matukio wanashindwa kutafsiri na kuyatunza kwenye Kumbukumbu....Lakini Hamu/Hisia (Desire/Body ) wanaweza kuzitafsiri kabisa kwa hiyo wanajua Njaa, wanajua Kiu, wanahisi Joto, baridi, Kelele, na hata Hamu ya kufanya Mapenzi wanakuwa nayo na hii huwa hata kwa Binadamu mweingine huwa inaibuliwa na Picha, maneno, kushikwa sehemu fulani fulani za Mwili!! Kwa hiyo Mgonjwa wa akili akishawishiwa na moja ya Vishawishi vya Mapenzi anapata hamu na anaweza kushiriki tendo la ndoa kama Binadamu yeyote yule anavyoweza kupata hamu ya Kula, akala na akashiba!! Na kwa kuwa wana maumbile ya Uzazi kama ya Binadamu mweingine yeyote tendo la Ndoa na Mgonjwa wa Akili huwa Linakuwa kamilifu kabisa na Mgonjwa wa Akili na anayeshiriki naye anakuwa na Fursa ya Kulirudia tena na tena !! Ni Kosa la Jinai kushiriki tendo la ndoa na Mgonjwa wa akili, huu ni Ubakaji Kwa kuwa Sheria imelipa hadhi tendo la ndowa na inamlinda Mgonjwa wa akili kwamba huwezi kukubaliana naye kufanya Tendo kubwa kama hili, kama ilivyo kwa Mtoto mdogo (Minor) au kuingia mkataba na Mtu ambaye hana Akili timamu ikiwemo mtoto mdogo na Mgonjwa wa Akili. Sheria inamlinda Mgonjwa wa Akili kwa kuwa wamekuwa ni wahanga wakubwa wa kufanyiwa vitendo hivi wawe wanapenda au bila wao kupenda.Wanawake wengi wagonjwa wa akili huwa huwa wanakuwa na hamu kabisa ya kufanya Ngono na huwa wanajua kabisa wanapofanya Ngono na mara nyingi huwa wanatafuta sehemu zenye faragha na hasa Usiku.Hata wakati wa kufanya Ngono huwa wanashiriki kikamilifu toka Mwanzo adi Mwisho, ijulikane kwamba na wao ni Binadamu kwa hiyo Miili yao huitaji Ngono..
 
Back
Top Bottom