Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

Nilipata kusikia miaka ya 1990s kuna mlemavu wa akili kule Makambako Njombe alipewa ujauzito akajifungua mtoto na akawa anamlea vizuri kabisa, cha kushangaza akawa anamwosha maji ya baridi bombani na mji ule ni wa baridi kali sana, baadaye alipobaini wanawake wa pale mjini wanataka kumnyang'anya mtoto, akawa anafanyia shughuli zake za usafi - kumwosha mtoto, kufua nguo zake na kuzianika kituo cha police
 
suprisingly sijawahi sikia kichaa wa kiume kampa mimba chizi au mwenye akili timamu, lakini kichaa wa kike kumkuta na mimba ni kitu cha kawaida
Kuna uzi wa aina hii humu, mmoja wa wachangiaji alidai kichaa alishawahi kumvizia mwanamke mmoja aliyekuwa ameinama akampelekea mambo hadharani.
 
Nilipata kusikia miaka ya 1990s kuna mlemavu wa akili kule Makambako Njombe alipewa ujauzito akajifungua mtoto na akawa anamlea vizuri kabisa, cha kushangaza akawa anamwosha maji ya baridi bombani na mji ule ni wa baridi kali sana, baadaye alipobaini wanawake wa pale mjini wanataka kumnyang'anya mtoto, akawa anafanyia shughuli zake za usafi - kumwosha mtoto, kufua nguo zake na kuzianika kituo cha police
Duh huyo chizi fresh
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..
Mtaa wa ufipa[emoji13]
 
Wanaume tu ndo wanaowapa mimba,lakini inasemekana hao wanaume hua wanakua na imani za kishirikina(masharti ya waganga)unakuta kaambiwa alale na kichaa ili atajirike

Kuhusu malezi ya mtoto hawa vichaa hua wako makini sana,nadhani hata Mungu mwenyew hua anawalinda tu
 
Ni imani za kishirikina sna ndo znapelekea mimba hzo
 
Habari WanaJF,

Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.

Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.

Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?

Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?

Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..

Kuna waungwana kabisa wenye akili timamu ndiyo wanalala na wendawazimu kwa ajili ya madawa yao ya nguvu za giza, wanaamini wakilala na mwendawazimu ndipo watapata utajiri au kwenda Marekani. Najuwa mtacheka hili.....kuna kijana miaka ya nyuma tulikuwa tunakaa mtaa mmoja. Baada ya kumaliza shule wenziwe tukawa shuleni sekondari yeye yuko tu kijiweni. Wenziwe wakamshawishi waende kumuona mchawi/mganga wa kienyeji ili afanikiwe mambo yake. Mganga akamwambia kama anataka kwenda Marekani (kimiujiza) alale na kichaa mwanamke na awe anavuta bangi kwa wiki nzima bila kuoga, yaani baada ya kulala na kichaa ndipo afanye vile. Wapiiiii, toka afanye ujinga ule mpaka leo ni miaka 25 jamaa hajapanda ndege yeyote ile hata ya kwenda mikoani sembuse Marekani mpaka kafariki hivi majuzi.
 
Wanapeana mimba wenyewe, mi nlishuhudia vichaa wakitoka kwny mahindi kuliamsha dude.

Jamaa anatoka speed magoti machafu na manzi anatoka mdomdo anajikung'uta majani mgongoni.

Manzi tunamuuliza vipi anasema ni taaaamu kwa tune ya kichizi.

Ni bahati tu manzi alishazalishwa na kufungwa kizazi tayari.
 
Huwa ni walinz na majamaa wanao lala karibu na stend Mara nying huwa ingilia kwa nguvu nao wakiona inanoga wanazoea na hutumia mbinu hasa kuwapa vyakula.. Yupo jamaa yangu yeye ndio alinisimulia anaendesha mkokoten mchana usiku ni mlinz yeye anawamwaga sana maji hao vichaa
 
Back
Top Bottom