Hivi anaridhika kweli!!!!!!!!!!?

Hivi anaridhika kweli!!!!!!!!!!?

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,216
Reaction score
1,283
Wakuu natumaini mko powa... ,jaman mwenzenu kila nikifanya sex "salama" na bby wangu analalamika kuwa namuumiza ingawa kama maandalizi yanakuwa ya kutosha xana mpaka anasema ingiz......,tatizo hili limedumu kwa mda mpaka nahisi kuwa anaweza asiwe anafurahia mechi na akawa ananichora tu, mjegejo wangu sio mkubwa sana kiasi kwamba mi naona inafit vizuri kwake ,mpaka xaxa sielewi nifanyeje kuondokana na hii karaaa, pia sijui kama anaridhika kweli ingawa nkimuuliza anasema ndio. Vile vile baby wangu hapendi denda nimejitahidi kumbembeleza hanielewi ,nifanyeje jaman nipewe manaake denda linaniongezea mzuka........Naamin wana JF mtanipa ushuri na mbinu kwa haya.
 
Hapa hakuna jibu,furha ya mapenzi ni ya wawili.
Kilammmoja awe muwazi kwa mwenzie.
Issue ya denda ni tatizo kwa wengi,na wengi upigaji wetu wa miswaki ni tatizo.
Mtu anapiga mswaki dakika mbili kamaliza.Unaweza kujiona upo fresh ila unanuka kinywa.
Hii ipo sana.
Na pia sio hilo tu,kuna wanawake hata kunyonywa maziwa hawataki kabisa,tena ukifanya hivyo mzuka woote unaruka.
Sasa mambo haya ni kato ya wawili,pia inaonekana ni mgeni kwenye fani ya mapenzi mkuu.
Maana hata maelezo yako yapo juu chini,sasa kama anasema unamuumiza we unafikiria wajibu wako ni nini?Halafu unasema anaridhika,je kwa maumivu?
 
Yaaan aumie alafu anakwambia ingiza?......haumii wala nn ni swaga tu hizo
 
Piga mswaki pia tumia listerin mouth wash kabla ya gemu.
 
Chukua dawa ya mswaki kidogo sana colget. Paka kidogo sana kwenye kichwa cha uume ili ukiingiza povu lisitoke, then ingiza kwa K. Nakwambia utani PM kuniambia amekuambia nini.
 
hi hi hi hi hi hiiiii,hajui mapenzi huyo,anakuchukulia we ka mlugaluga unukaye domo ndo maana hataki dendalo!
 
​Mhhhhh!!!!

Chukua dawa ya mswaki kidogo sana colget. Paka kidogo sana kwenye kichwa cha uume ili ukiingiza povu lisitoke, then ingiza kwa K. Nakwambia utani PM kuniambia amekuambia nini.
 
​Mhhhhh!!!

kiongozi ndo maana nkaomba nisaidiwe......
Hapa hakuna jibu,furha ya mapenzi ni ya wawili.
Kilammmoja awe muwazi kwa mwenzie.
Issue ya denda ni tatizo kwa wengi,na wengi upigaji wetu wa miswaki ni tatizo.
Mtu anapiga mswaki dakika mbili kamaliza.Unaweza kujiona upo fresh ila unanuka kinywa.
Hii ipo sana.
Na pia sio hilo tu,kuna wanawake hata kunyonywa maziwa hawataki kabisa,tena ukifanya hivyo mzuka woote unaruka.
Sasa mambo haya ni kato ya wawili,pia inaonekana ni mgeni kwenye fani ya mapenzi mkuu.
Maana hata maelezo yako yapo juu chini,sasa kama anasema unamuumiza we unafikiria wajibu wako ni nini?Halafu unasema anaridhika,je kwa maumivu?
 
Chukua dawa ya mswaki kidogo sana colget. Paka kidogo sana kwenye kichwa cha uume ili ukiingiza povu lisitoke, then ingiza kwa K. Nakwambia utani PM kuniambia amekuambia nini.

mhhh how will it work istoshe natumia condom.
 
piga kavu hiyo con ndo inamuumiza.....kama hataki denda ingia mgodini, piga chumvi ya kutosha, then sukumia choronga kama hajafuta kauli ya maumivu......
 
Back
Top Bottom