GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,682
- 109,098
Aaah! Hebu muacheni mama wa watu. Bi mkubwa ana adabu sana yule, mwacheni aishi aishivyo.
Gentamycin ile account yako imepigwa pin nini ?
Uko sahihi mkuu. Huyo mama hana amani wala furaha na kama anajitahidi kuionesha ni ile ya kutengenezwa au kulazimisha lakini siyo from within. Waliosoma literature wanajua hiloKila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:
Ana Maumivu makubwa moyoniAna Mawazo mengiHathaminiwiAnadharauliwaAmelazimishwaMgonjwaHapendi Publicity
Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
Niliwahi kupigwa ban ya siku saba kwa comment inayo fanana na hiiGentamycin ile account yako imepigwa pin nini ?
Mkuu, minapenda vile unavyo tiririka na kuserereka mara tu unapo tekenywa..tehNaitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
Miaka minne tu nyie mshamchoka bwana mkubwa
Imagine yeye kavumilia miaka mingapi
Anyway kisarawe oyeee
Uko sahihi mkuu. Huyo mama hana amani wala furaha na kama anajitahidi kuionesha ni ile ya kutengenezwa au kulazimisha lakini siyo from within. Waliosoma literature wanajua hilo
Una bahati nyaulangu halipo tena... La sivyo....Kila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:
Ana Maumivu makubwa moyoniAna Mawazo mengiHathaminiwiAnadharauliwaAmelazimishwaMgonjwaHapendi Publicity
Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
Niliwahi kupigwa ban ya siku saba kwa comment inayo fanana na hii
Miss kisarawe anamnyima Raha mama yetu kuna tetesi mtaani zinadai kuwa huyu miss kisarawe ni fundi SanaNasikia Miss Kisarawe, Miss Afya na yule akiyekuwa Miss Madini achilia mbali yule Miss Bamaga mkabala na TBC wanamnyima sana raha na amani kwakuwa Keki yake inaliwa na wengi ambao hawakuihangaikia tokea miaka ya nyuma.
Una umbea Sana wewe.Kila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:
Ana Maumivu makubwa moyoniAna Mawazo mengiHathaminiwiAnadharauliwaAmelazimishwaMgonjwaHapendi Publicity
Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
Kama ungemtaja huyo Rais, ama ungetaja jina la mkewe... Pengine ingekuwa ni rahisi kwa wachangiaji kutambua ni mke wa Rais yupi unaemzungumzia..