Hivi ambaye huwa naiona hii body language ya mke wa Rais haiko sawa ni mimi peke yangu au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Kila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:

Ana Maumivu makubwa moyoni
Ana Mawazo mengi
Hathaminiwi
Anadharauliwa
Amelazimishwa
Mgonjwa
Hapendi Publicity

Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
 
Gentamycin ile account yako imepigwa pin nini ?

Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
 
Kila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:

Ana Maumivu makubwa moyoni
Ana Mawazo mengi
Hathaminiwi
Anadharauliwa
Amelazimishwa
Mgonjwa
Hapendi Publicity

Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
Uko sahihi mkuu. Huyo mama hana amani wala furaha na kama anajitahidi kuionesha ni ile ya kutengenezwa au kulazimisha lakini siyo from within. Waliosoma literature wanajua hilo
 
Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
Mkuu, minapenda vile unavyo tiririka na kuserereka mara tu unapo tekenywa..teh
 
Miaka minne tu nyie mshamchoka bwana mkubwa

Imagine yeye kavumilia miaka mingapi

Anyway kisarawe oyeee

Nasikia Miss Kisarawe, Miss Afya na yule akiyekuwa Miss Madini achilia mbali yule Miss Bamaga mkabala na TBC wanamnyima sana raha na amani kwakuwa Keki yake inaliwa na wengi ambao hawakuihangaikia tokea miaka ya nyuma.
 
Kila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:

Ana Maumivu makubwa moyoni
Ana Mawazo mengi
Hathaminiwi
Anadharauliwa
Amelazimishwa
Mgonjwa
Hapendi Publicity

Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
Una bahati nyaulangu halipo tena... La sivyo....
 
Niliwahi kupigwa ban ya siku saba kwa comment inayo fanana na hii

Sidhani kama huyo atapigwa kwani kuhusu Mimi kuhusishwa na hiyo ID wanayoitaja mara kwa mara hapa sijaanza leo na cha Kusikitisha wale ambao wamekuwa wakifanya hivyo nawaona wapo tu na tena wanazidi Kuwaaminisha Watu kuwa huyo Mhusika wao ndiyo mwenye ID hii ( yaani Mimi )
 
Kila nimwonapo kupitia Saikolojia yangu Kali ya Kuzaliwa nayo na ya Kusomea kidogo pia huwa nagundua haya:

Ana Maumivu makubwa moyoni
Ana Mawazo mengi
Hathaminiwi
Anadharauliwa
Amelazimishwa
Mgonjwa
Hapendi Publicity

Sijui Wewe Mwenzangu huwa unamuonaje.
Una umbea Sana wewe.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom