Hivi ACACIA /BARRICK wanatulipa hela yetu lini!?

Hiyo kishika uchumba tuliyoahidiwa na WANAUME wa Barrick/Acacia tusahau.....

Kwa kuwa zile zilikuwa fix za kutusaahaulisha zile Noah zetu tulizoahidiwa hapo awali!
Uliahidiwa na nani?
 
Nauliza kwa nia njema tu maana yule Mkurugenzi wao alivyokuja tuliambiwa "amekubali kulipa"!

Dawa ya deni ni kulipa, hebu tupeni update mliopo jikoni! Zimeshalipwa!? Zimeingizwa kwenye mfuko gani!? Kama bado, lini watatulipa mijihela yetu!?
Walishalipa toka mwezi January
 
Nauliza kwa nia njema tu maana yule Mkurugenzi wao alivyokuja tuliambiwa "amekubali kulipa"!

Dawa ya deni ni kulipa, hebu tupeni update mliopo jikoni! Zimeshalipwa!? Zimeingizwa kwenye mfuko gani!? Kama bado, lini watatulipa mijihela yetu!?
tatizo account ya kulipia haikuwekwa wazi.
mi naona zililipwa, sema labda zimepigwa jukwaju na wadau wa kutoka "call me j"!!
 
Nauliza kwa nia njema tu maana yule Mkurugenzi wao alivyokuja tuliambiwa "amekubali kulipa"!

Dawa ya deni ni kulipa, hebu tupeni update mliopo jikoni! Zimeshalipwa!? Zimeingizwa kwenye mfuko gani!? Kama bado, lini watatulipa mijihela yetu!?
Hahahahahaa
141523b7779ced5bf40ae89222db1312.jpg
 
Ilo ni swala mtambuka na linazungumzika.

Nimenukuuu, kama viongozi wetu wanavyokuja vijijini na kuwadanganya watu
 
Tulishalipwa kitambo..watadaiana wao huko.tuna mkuu mwenye kujua kusimamia vyema rasilimali za nchi.maneno yatabaki ya siasa tu lakini tuko safi kwa sasa
 
Back
Top Bottom