Wamlipe aliyewaita "wanaume"Yaani unategemea "wanaume" wakulipe?
Hata watoto wa O level wana akili nyingi kuliko hawa maprofesa wa udsmHuwa ninajisikia kinyaa kabisa ninapoona neno 'Prof.' kwa maprofesa watanzania hasa huyu Kabudi.
Hivi wewe Baba mwenye nyumba akisema kitu unaweza kutilia mashaka!? Fikiria Baba anawaahidi watoto wake kuwanunulia kitu fulani, unategemea watoto wasiamini kweli!?!Usituvunje mbavu!! Hivi kuna watu waliamini eh??
Watu wengine bwana! Mkitekwa muanze kulalamikia tiss, unamkumbusha jeipiem machungu ya kuingizwa choo cha kike?Nauliza kwa nia njema tu maana yule Mkurugenzi wao alivyokuja tuliambiwa "amekubali kulipa"!
Dawa ya deni ni kulipa, hebu tupeni update mliopo jikoni! Zimeshalipwa!? Zimeingizwa kwenye mfuko gani!? Kama bado, lini watatulipa mijihela yetu!?
RUUUUUUUUUUUUUN!!!!!! THE white car is behind you! Run run fast! Usikimbilie uelekeo wa koko kwani hutarudi ukihema!Nauliza kwa nia njema tu maana yule Mkurugenzi wao alivyokuja tuliambiwa "amekubali kulipa"!
Dawa ya deni ni kulipa, hebu tupeni update mliopo jikoni! Zimeshalipwa!? Zimeingizwa kwenye mfuko gani!? Kama bado, lini watatulipa mijihela yetu!?
Inategemea na baba mwenyewe, kama ni 'mwongo mwandamizi' kumwamini ni sawa na kujilisha upepo.Hivi wewe Baba mwenye nyumba akisema kitu unaweza kutilia mashaka!? Fikiria Baba anawaahidi watoto wake kuwanunulia kitu fulani, unategemea watoto wasiamini kweli!?!
[emoji604] [emoji604] [emoji604] [emoji604] [emoji604] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]Nauliza kwa nia njema tu maana yule Mkurugenzi wao alivyokuja tuliambiwa "amekubali kulipa"!
Dawa ya deni ni kulipa, hebu tupeni update mliopo jikoni! Zimeshalipwa!? Zimeingizwa kwenye mfuko gani!? Kama bado, lini watatulipa mijihela yetu!?
Siku anaona aibu kuonesha sura yake mzee wa watu.Mtu mzima prof kulazimishwa kuwa poyoyo na Sizonje mchezoWakumuuliza hasa ni Prof Kabugi.