Hivi 2020 kuna Mtanzania ataipigia kura CHADEMA au upinzani?

ushanga

JF-Expert Member
Jan 5, 2017
458
250
Naamin wanaomchukia ni wchache wnampenda ni wng tna sna na hii haikuanza kwek 2 hta mi2me ya mwenyz Mungu pia wpo wlioiamin na wngine hawakuiymin xo hli nijmbo la kawaida
 
benitoc

Member
Nov 16, 2010
47
95
Nafikiri mtoa post unapaswa kuligeuza swali lako maana walioathirika zaidi na awamu ya tano ni CCM zaidi kuliko upinzani. Wapinzani walishazoea kuisoma namba. CCM ndio wanaanza hivyo wana hasira zaidi ya upinzani
 
nyamnini

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
2,742
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
kwa mtazamo wangu watanzania wengi waliopigia vyama vya upinzani 2015 hawatapigia tena upinzani 2020 kwani watakuwa wamechoka kupoteza kura zao kwa kuwapigia wasioweza kuzilinda.

ama hawatapiga kura kabisa au watapigia Ccm.
 
issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,557
2,000
kuliko nipoteze mda wangu kwenda kuipgia kura kijani, bora nishinde nimelala
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
14,014
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Haaahaaaaa mkuu utafiti gani huo kma ule wa Twaweza ambao ulisema lowassa anaushawishi zaidi kwa waliotia nia ila alipohamia upinzani wakasema hapana sio lowasa ni magufuli?? Dah nchi hii kazi kwel kweli
Anyway back to MADA
Chadema imekufa kutumia vigezo gani??? Nyie ruhusuni mikutano ya kisiasa nafkiri mnaikumbuka vzuri sana amshamsha ile ya M4C na zile operation kma sangara na pamoja daima zile mkiruhusu ndio mtaelewa nguvu ya chadema maana wakienda kuchambua bajeti yenu mbovu pia hali ya uchumi na sera hewa ya viwanda kwa wananchi trust me popularity yenu itarudi kuwa 30% hili magufuli aliliona ndio maana kakimbia kuweka sheria kandamizi za kuzuia mikutano...... pia mmeweka sheria za mtandao ili mbane wanaomkosoa rais,pia mmefungia magazeti pinzani kma mawio kisa wanakosoa serikali sasa kma chadema imeisha ushawashi mngehangaika nao hivo??
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,686
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
fu

Ningelikuwa mimi ni wewe, au unglikuwa unajitambua japo kidogo,, ungefuta contents and kuomba ubadilishe title. Hapa unajianika utupu wako sokoni.

Andika hivi, "MWAKA 2020 TISSHIO NA POLICCM WATAKUBLAI KUTUMIKA NA CCM TENA?".
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
14,014
2,000
Hapa jirani kwangu na kituo cha boda boda vijana wa boda boda hawana hamu na upinzani tena, wamechoka matamko mazitp yasiyotekelezwa, UKUTA, KATA FUNUA etc.
Wao ni hapa kazi tu.
Haahaaaa hao vijana wa wapi asee wakati hawana hta uhakika wa milo miwili kwa hali ngumu ya uchumi hta wateja wamepungua sasa wanaanzaje labda kushabikia chama kilichosababisha wao kupigika na kuwafikisha wao na familia zao hapo walipo hadi kusababisha wawe bodaboda..... in ur dreams
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
14,014
2,000
Naamin wanaomchukia ni wchache wnampenda ni wng tna sna na hii haikuanza kwek 2 hta mi2me ya mwenyz Mungu pia wpo wlioiamin na wngine hawakuiymin xo hli nijmbo la kawaida
Angekuwa anapendwa angepata kura chache kuliko mgombea yeyote wa ccm toka uhuru kuendana na matokeo yaliyochakachuliwa ya NEC??
 
Maua kilasa

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
1,040
2,000
Hakika kwa hali hii 2020 wote tutaipigia upinzani hata wakisimamisha jiwe.
Kama wote tungekuwa na understanding ya Kafulila hii nchi ingeongozwa na wapinzani siku nyingi.
Ccm washukuru kwa kuwa asili mia kubwa hawajui kinachoendelea.
 
kenstar

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,279
2,000
Bado miaka mitatu tuone ahadi zipi zimetekelezwa ili tuamue kupiga au kutopiga.
 
Wamunzengo

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
810
250
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani

Mkuu, watawapata wa dizaini zao. kila shetani na mbuyu wake. ila IKULU ndio wasahau kabisa, yaani hiyo sanasana waanze kupiga hesabu baada ya miaka kama 150 hivi. habari ndio hiyo.
 
Sep 18, 2016
94
125
kwa mtazamo wangu watanzania wengi waliopigia vyama vya upinzani 2015 hawatapigia tena upinzani 2020 kwani watakuwa wamechoka kupoteza kura zao kwa kuwapigia wasioweza kuzilinda.

ama hawatapiga kura kabisa au watapigia Ccm.
Ila watapiga tena,
Ili wamalizie kusoma tarakimu nyingine 5.
Maana tano za kwanza zitakuwa zimekwisha.
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,203
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
Sitaleta chakula cha masaada sababu Kagera ni ya kijani
Kagera kila mkosi ni nyie tu
Dr Shein mtu atakaye leta fyokofyoko niambie mm nitamtuliza dakika 5 tu

MTZ atakaye mpa kura Rais ambaye wala hajui nguvu za taasisi ya Rais mwaka 2020 basi ana KICHAA
Magufuli is One Term President labda abebwe na TUME YAKE
Mwaka sasa unaishi hamna mradi wowote mkubwa TZ umeanza zaidi ya porojo
 
shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
2,026
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani

Hao uliongea nao ni kutoka chato,Mimi nimeongea na wa DSM,Mwanza,arusha na Dodoma wameapa hawampigii tena kura jpm,maana wanaona nchi inaongozwa kwa kihemuko na u homeboy
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom