Hivi 2020 kuna Mtanzania ataipigia kura CHADEMA au upinzani?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,056
2,000
Baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa haswa za upinzani kupitia CHADEMA.

Nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani.

Lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia Mbowe, Maalim Seif, Lowassa, Lissu, Mnyika, Halima Mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

Lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia CHADEMA inaonekana imani watu imeshawapungua.

Katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura CHADEMA au upinzani.
 
chipaka.com

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,885
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2015 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Acha kukopi na kupesti,, au buku saba ndio tatizo
 
exit

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
1,671

Kumbe ni chagizi wa 2015. Mbona tulishapita huko. Tunajipanga 2020 kwa sasa.
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,545
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2015 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
naomba Mungu chama kimojawapo cha upinzani waimarike, 2020 watakuwa na kazi nyepesi sana, hakuna mtu anayevumilia uhaba wa pesa mtaaani namna hii. wananchi hawataki sifa, wanataka pesa. unasifiwa tu wakati unawaletea maisha magumu, utaeleweka? tangu waanza kutangaza ivyo viwanda, vimejengwa vingapi? mwekezaji gani anakuja mahali ambapo utawala wa sheria wenyewe tu una mashaka bali utawala wa kibabe toka kwa viongozi?
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
108,207
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2015 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Hii mtu amekaa na kutumia akili? Siasa sio za kukariri. Hakuna ajuae 2020..
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
37,026
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2015 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Hiyo sentensi yako ya mwisho inaonyesha eitha bado uko usingizini au umepoteza fahamu kwa muda mrefu na ukizinduka utajua kuwa uchaguzi wa 2015 ulishafanyika tayari na sasa hivi ni mwaka 2017. Ugua pole na karibu tena kwenye uhai.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,845
2,000
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2015 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Hapa jirani kwangu na kituo cha boda boda vijana wa boda boda hawana hamu na upinzani tena, wamechoka matamko mazitp yasiyotekelezwa, UKUTA, KATA FUNUA etc.
Wao ni hapa kazi tu.
 
mbaswike

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
516
250
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2015 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Sio mzima kabisa wewe ni mjinga pekee atayeipigia kura ccm
 
ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,432
2,000
Bado mapema,swali hilo ungeliuliza 2019 wakati wa Uchaguzi wa Serikali au June 2020!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom