kwa mtazamo wangu watanzania wengi waliopigia vyama vya upinzani 2015 hawatapigia tena upinzani 2020 kwani watakuwa wamechoka kupoteza kura zao kwa kuwapigia wasioweza kuzilinda.baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.
nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .
lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.
lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.
katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Haaahaaaaa mkuu utafiti gani huo kma ule wa Twaweza ambao ulisema lowassa anaushawishi zaidi kwa waliotia nia ila alipohamia upinzani wakasema hapana sio lowasa ni magufuli?? Dah nchi hii kazi kwel kwelibaada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.
nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .
lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.
lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.
katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
SIWEZI KUMPIGIA MTU WA CCM KURA YANGUUliza swali la msingi...je magufuli atapigiwa kura na wananchi?
fubaada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.
nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .
lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.
lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.
katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Haahaaaa hao vijana wa wapi asee wakati hawana hta uhakika wa milo miwili kwa hali ngumu ya uchumi hta wateja wamepungua sasa wanaanzaje labda kushabikia chama kilichosababisha wao kupigika na kuwafikisha wao na familia zao hapo walipo hadi kusababisha wawe bodaboda..... in ur dreamsHapa jirani kwangu na kituo cha boda boda vijana wa boda boda hawana hamu na upinzani tena, wamechoka matamko mazitp yasiyotekelezwa, UKUTA, KATA FUNUA etc.
Wao ni hapa kazi tu.
Ktk cku umeongea vzur, leo ndyo inaongoza. Hongera sn mwananguNafikiri swala fikirishi zaidi lingekuwa,"Chama cha Upinzani Kikishinda Tume itawatangaza washindi au Uchaguzi utarudiwa"?
Angekuwa anapendwa angepata kura chache kuliko mgombea yeyote wa ccm toka uhuru kuendana na matokeo yaliyochakachuliwa ya NEC??Naamin wanaomchukia ni wchache wnampenda ni wng tna sna na hii haikuanza kwek 2 hta mi2me ya mwenyz Mungu pia wpo wlioiamin na wngine hawakuiymin xo hli nijmbo la kawaida
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.
nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .
lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.
lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.
katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Ila watapiga tena,kwa mtazamo wangu watanzania wengi waliopigia vyama vya upinzani 2015 hawatapigia tena upinzani 2020 kwani watakuwa wamechoka kupoteza kura zao kwa kuwapigia wasioweza kuzilinda.
ama hawatapiga kura kabisa au watapigia Ccm.
Jifariji kwenye korido za lumumba na bukta ya kijani..maana hata mgonjwa wa kufa huwa anaambiwa ataponaAnachukiwa na bavicha ambao hawazidi laki nne, 2020 hamna chenu.
Jipeni moyo!
Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewebaada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.