Hivi 2020 kuna Mtanzania ataipigia kura CHADEMA au upinzani?

Dah... Mbona simple sana hii
Wanachadema wataipigia chadema wapate mlo....
Wanaccm wataipigia ccm wasife njaa...
Watanzania wataipigia Tanzania isonge mbele..
 
Hili swali najua mmetumana wana CCM masalia kuupima upepo. Na mtatokea wengi kujipa moyo lakini ukweli unajulikana. CCM ina kazi kubwa sana 2020. Mlipo hapo mnatetemeka. Muumeze ukweli mchungu.
 
baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa.
haswa za upinzani kupitia chadema.

nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani .

lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia mbowe,maalim seif,lowassa,lisu, mnyika,halima mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia chademaa inaonekana imani watu imeshawapunguaaa.

katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura chadema au upinzani
Msingi wa swali lako unaangalia hasa vigezo gani, kuimarika kwa maisha ya Wananchi, kuboreka kwa huduma au hasa kitu gani?
Pili, je swali lako linamaanisha kuwachagua kuingia madarakani au kupata kura kwa maana ya kura? Kama kura hata Osama pamoja na ubaya wake, wapo watu wangempigia kura siyo kwa kushinda ila KUPIGIWA KURA. hivyo rekebisha swali au uzi uko too general.
 
ccm siotu hawana aibu bali mnalaana sasa kama upinzan umekufa kwanini mnatoa hadi vifaru vya monduli kufanya usafi mjini kwa ajili ya ukuta hebu mzee pOMBE kama kweli anaona kadhoofisha upinzani abadili majesh ya ccm yawe ya tanzania yatende haki halafu tume iwe huru tuone kama chama hiki si mtakikuta kwa dastbini
 
Hapa jirani kwangu na kituo cha boda boda vijana wa boda boda hawana hamu na upinzani tena, wamechoka matamko mazitp yasiyotekelezwa, UKUTA, KATA FUNUA etc.
Wao ni hapa kazi tu.
Acha uongo wako, bodaboda wanalalamika hakuna wateja tena! hakuna cha hapa kazi tu, bali hapa kupigika tu!
 
Hapa jirani kwangu na kituo cha boda boda vijana wa boda boda hawana hamu na upinzani tena, wamechoka matamko mazitp yasiyotekelezwa, UKUTA, KATA FUNUA etc.
Wao ni hapa kazi tu.

kumbe tanzania tukizungumzia vijana tunamaanisha waendesha bodaboda? je hao ndo wapiga kura wakuu?

tupunguze porojo na uwongo mana Mungu ktk amri zake hiyo ipo
 
Baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa haswa za upinzani kupitia CHADEMA.

Nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani.

Lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia Mbowe, Maalim Seif, Lowassa, Lissu, Mnyika, Halima Mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

Lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia CHADEMA inaonekana imani watu imeshawapungua.

Katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura CHADEMA au upinzani.

Ulitamani kujua kama kuna atakayepigia upinzani kura 2020 je umepata jibu? asilimia kubwa wamekuonyesha kwamba watapigia upinzani sasa anzisha thread nyingine kuuliza kama 2020 watapigia ccm
 
Baada ya uchaguzi 2015 kumalizika watanzania wengi, vijana wengi waliounga mkono upinzani asilimia kubwa wanaonekana wameshakata tamaa kuhusu mambo ya siasa haswa za upinzani kupitia CHADEMA.

Nimejaribu kupita pita sehemu nyingi na nimegundua kuna vijana ambao wameshaapa hawatapiga kura kupitia upinzani hawata piga kura tena maana siasa kupitia upinzani.

Lakini pia ukiangalia viongozi wa upinzani ukiangalia Mbowe, Maalim Seif, Lowassa, Lissu, Mnyika, Halima Mdee wanaonekana wameshapoteza ushawishi wa kisiasa.

Lakini pia kuna watu wameshavunjika moyo kutokana na upinzani kupitia CHADEMA inaonekana imani watu imeshawapungua.

Katika haya yote hivi kuelekea 2020 kuna watu kweli wataipigia kura CHADEMA au upinzani.
Uliza swali la msingi...je magufuli atapigiwa kura na wananchi?
 
Hivi ni sawa na kuhoji kama ile Great Wildebeest migration itaendelea kwa kuwa Crocs wameongezeka Mto Mara.
 
Msigwa "anayemuunga Lowassa mkono akapimwe akili"
VIPI wale wajumbe wa mkutano mkuu wa FISIEM waliokuwa wanaimba kale kanyimbo maarufu.. TUNAIMAAANI NA LOWAAAASAAAA OYAAA.. OYAAA.. OYAAAAA.. LOWASA KWEEELI... KWELI.. KWEEELI.. hawa nao unawaitajee??
 
Kwan ni Raisi gn alyepta ambae alkuw anatoa chkul mlo 3 kwa kla mwnanch wa Tanzania? Ugumu wa maisha ea ss hautokan na m2 yyt ila ni mabdilik ya hli ya hew mvua hzinyesh kw wkat ndio ttz na chanz cha ugumu wa maish na sfhan km kna Raic yyt dunian ambey anawez kuiyamrsha vua inyesh kw hyo acheni kunasbisha wkati na m2 hii ni mpango ya Mungu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom