Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
kwani kosa ni lani hapo? Yeye ama huyo njemba? Tatizo ni wanaume ving'ang'anizi. Dada yuko honest kabisa. Msemo wa wanaume inzi kufia kidondani halali yake sasa hapo weye utasemaje?
mi nishaboo kualikwa jamani!ahahhahah kama hamtajali jamani!
Mbona NGo's zipo nyingi ambazo unaweza Kujiunga nazo dada angu'..Kile aMBacho unaweza waambia hApa JF wale ambao wana status kama yako na HAta wasijitambua wakapime then Mujiunge kwa izo NGO's kama wasomi mtakuwa mmetumia Elimu yenu vizuri...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
usjali lol! ila tu iyo huwa tunakaa kisha usiku tunaenda club japo kudance kidogo lol! japo wazee lakin tutoe stress atii.
sasa kwa nini apatwa na 'ngazi''?
ahsante mwalimu!note taken usjali mwalimu mwenzangu.
ahahahhahahhahha uzee kasema nani siku moja moja kujirusha sio mbaya mwayego!
oh!sikia mamii
hebu badilisha kwanza hyo user name yako,umeanza kujinyanyapaa mwenyewe!
kuwa ni mwathirika sio kifo,una nafasi ya kufanya mengi sana ambayo wengine(tunaoamini hatuna )hatufanyi
jipende na furahia maisha,kuathirika sio sababu ya kujikataa na kuwapa wengine sababu ya kukukataa au kujustfy kukataliwa na jamii,hiyo jamii inayokunyanyapaa yenyewe haijui hali zao kiafya ziko vipi
jichanganye na marafiki wengine watakaokupa tumaini la kuwa maisha yanaendelea,ukijifunga na kuamini kuwa kwa kuwa ur HIV+ basi marafiki unaowastahili ni wa aina hiyo tu hujitendei haki my dear!
wewe ni wa thamani sana na wa pekee!
thamani yako kama mwanadamu inabaki palepale haijalishi jamii inakuchukulia vipi!ulianguka hapo umefanikiwa kusimama ishi maisha yako unayodhani ni salama kwako na kwa wenzio!
Mkuu unajua hawa dada zetu wa maofisini wengi wao ni nadra sana kukazania ile mupira yetu ile........wanazidiwa sana na wale Ma-CD sasa wengi wetu wameangamia sana kwa hili.......inaumiza sana mtu unajijua una ile ''hali'' halafu unagawa papuchi
kwasababu mtu anataka kujifisha kidondani mwenyewe. hivi kama mmekubaliana kucondomize kwanini usiendelee hadi game iishe? ama mpaka upige nyama kwa nyama ndo unaona umepiga? sasa jifunzeni hapa. naamin wiki nzima kuna watu humu hawatasimamisha.
Mkuu kugawa papuchi ndio nini? misamiati hii..haya bana. Lakini dada mwenyewe kajisemea yaliyo jiri...siku ya kwanza jamaa hakubali bila mupira...siku ya pili na ya tatu...anajifanya anamjua sana...ndio ana mpa papuchi kha! Wote wa kulaumiwa tu hapa!!
really?sikutegemea ningeeleweka hivyo mkuu,well mimi nililitazama hivyo lakini si katika unyanyapaa,pole kwa kukukwaza!wala halikuwa lengo langu! i hope mleta thread hajatafsiri ulivyoelewa wewe.lol!mbona maushauri yote hayo yatakuwa ni kazi bure sasa!Kwa kweli kutaka mtu ambaye ni HIV+, ambaye kajitambulisha kama HIV+, abadilishe moniker yake ni moja kati ya unyanyapaa.
HIV+ ndiyo status yake kiafya, kaja hapa ku raise awareness kuhusu hali hii, kwa nini unataka abadilishe jina? HIV+ hawafai hapa JF?
Unakuwa kama mzungu anayemwambia muafrika "ukitaka watu wasikubague, anza kuvua nguo zako za kiafrika uvae suti", kitendo hiki ni unyanyapaa tayari!
UMEMWELEWA KAULI YAKE LAKINI?........anamaanisha kuwa hawaambii hao njemba wake hali alonayo na wao hujenga imani yuko fit..ukiwa na hii mukitu vizuri kufunguka
Na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusianokama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njemba inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.
nimeipenda hiyo mwenzetu,mwenzangu!yaah ni kweli kabisa na hata kama umeshapima unajuaje mwenzio ni msafi kiasi gani hapo ndo ngoma ilipo!yani we acha tu!kweli bana huyu ni mwenzetu,ni mwenzangu!Ni kweli ''mwenzetu'' HIV na asante kwa ujasiri wako. Nasisitiza neno ''mwenzetu'' kwa sababu kama hujajua status yako huwezi kujigamba nakunyanyapaa ''wenzio''.
Pia ni lazima tujue kutofautisha mtu anapongea kitu kwa regret alichofanya na kutubu na yule anayeongea kwa kujinasibu na majigambo ya kile alichofanya.
''mwenzetu'' HIV , ameongea kwa kujuta na kutubu lakn wakati huohuo anadokeza kwamba hata yeye ni binadamu,ana matamanio na kwamba inahitaji nguvu ya ziada kuyashinda hayo matamanio. Yeye kasema, je ni wangapi ambao hawajutii na wewe ukija na vinyege vyako vya kuku anakuridhia unachotaka?
''mwenzangu'' HIV mungu aendelee kukupa ujasiri na kutuelimisha kama ulivyofanya hapa. Mungu aendelee kukupa hikma kama hyo na busara.
snowhite ulijieleza vizuri sana na wala hujakosea popote ila nimjuavyo mkuu Kiranga ni critique tu wala asikupe hofu alielewa ulichomaanisha. wafikiri yuko siriaz basi?really?sikutegemea ningeeleweka hivyo mkuu,well mimi nililitazama hivyo lakini si katika unyanyapaa,pole kwa kukukwaza!wala halikuwa lengo langu! i hope mleta thread hajatafsiri ulivyoelewa wewe.lol!mbona maushauri yote hayo yatakuwa ni kazi bure sasa!