Huwezi kujua kama upo wala kuugopa mpaka ukute umeathirika, jamani this disease is very real, ipo, ipo kabisaaaaaaaa! Ahsante mdada kwa kutukumbusha, usiwaambukize wengine, utapata neema na thawabu zako kutoka kwa MUNGU! MUNGU akuongoze na kukufariji katika kipindi chote cha ugonjwa wako, na sisi wengine jamani tuache kucheat, ambao hawajao/olewa wafanye hivyo na wastick to one man/woman marriage, sio mzaha hali ni mbayaaaaaa!
msiri wangu upoooooo?? Mi miss u bana, lol! Cant wait for november tukae tena brajec kama ilivyo ada! Lolyou said it right cacico. But inapotokea mtu kaathirika kumyanyapaa hakufai kamwe kwani hatujui ya kwetu ya kesho.
Ngoja nikupe mfano nilipogundua am diabetic dr ambaye ni dada yangu mzazi aliniambia hivi mdogo wangu siku hizi heri uugue ukimwi utapata dawa kuliko sukari. Na kibaya zaid sukari inanyong'onyeza mwili kuliko hata huo ukimwi. So to her ugonjwa ni ugonjwa tu, manake wa aina yyte ile waweza kuleta kifo hapendezi kuwanyanyapaa wagonjwa fulan na kuwakumbatia wengine.
hujui unachokizungumza na hakika hujui umesimama wapi kiasi cha kujua utaangukia wapi?usihukumu maana hujui lipi hasa limemkuta huyu dada,and tht not our case here,hebu jaribu kukua kidogo katika hili unless una tatizo personal!
Poleni kwa kuwakwaza kama nimewakwaza lakini hii kaukli yake ndio iliniudhi sana:
Na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusiano kama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njemba inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.
msiri wangu upoooooo?? Mi miss u bana, lol! Cant wait for november tukae tena brajec kama ilivyo ada! Lol
sasa hivi viwanja vimebadilika lol! kuna sehem nzuri acha kabisa wewe yaani ni full misosi na mamvinyo ya kufa mtu. ngoja nikamilishe kaz nitakualika mahali hutoamini. btw nakumbuka ulinikatili hamu yangu ya kwenda kunywa chai na wewe umesahahu enh?msiri wangu upoooooo?? Mi miss u bana, lol! Cant wait for november tukae tena brajec kama ilivyo ada! Lol
oh!sikia mamii
hebu badilisha kwanza hyo user name yako,umeanza kujinyanyapaa mwenyewe!
kuwa ni mwathirika sio kifo,una nafasi ya kufanya mengi sana ambayo wengine(tunaoamini hatuna )hatufanyi
jipende na furahia maisha,kuathirika sio sababu ya kujikataa na kuwapa wengine sababu ya kukukataa au kujustfy kukataliwa na jamii,hiyo jamii inayokunyanyapaa yenyewe haijui hali zao kiafya ziko vipi
jichanganye na marafiki wengine watakaokupa tumaini la kuwa maisha yanaendelea,ukijifunga na kuamini kuwa kwa kuwa ur HIV+ basi marafiki unaowastahili ni wa aina hiyo tu hujitendei haki my dear!
wewe ni wa thamani sana na wa pekee!
thamani yako kama mwanadamu inabaki palepale haijalishi jamii inakuchukulia vipi!ulianguka hapo umefanikiwa kusimama ishi maisha yako unayodhani ni salama kwako na kwa wenzio!
Una LEBO HIV+ utosini? wanakunyapaa vp?
Poleni kwa kuwakwaza kama nimewakwaza lakini hii kaukli yake ndio iliniudhi sana:
Na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusiano kama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njemba inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.
im honored mkuu!I salute you, maneno kuntu maneno mujarabu kabisa Snowhite.
usjali lol! ila tu iyo huwa tunakaa kisha usiku tunaenda club japo kudance kidogo lol! japo wazee lakin tutoe stress atii.hii outing ya brajec november na mie msiniache jamani,napenda sana girls day out!pleeeeeease!
Safari_ni_Safari weye...maneno hayo!
mi nishaboo kualikwa jamani!ahahhahah kama hamtajali jamani!sasa hivi viwanja vimebadilika lol! kuna sehem nzuri acha kabisa wewe yaani ni full misosi na mamvinyo ya kufa mtu. ngoja nikamilishe kaz nitakualika mahali hutoamini. btw nakumbuka ulinikatili hamu yangu ya kwenda kunywa chai na wewe umesahahu enh?
this time kuna coffee bar moja matata mahali hakya Mungu lazima uende hata kwa fimbo lol?