Hit song: Unconditionally BAE

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,828
Reaction score
858,648
Ni ngoma mpya ya Sauti Sol Ft Alikiba, ni ujio mpya wa Alikiba aliyumba akateleza lakini hakuanguka
Ni wimbo ambao wamteundea haki mpaka kwenye video zake zote
Tofauti na wakongwe wengine Kiba ameweza kurudi hewani tena tena kwa kasi ya kutia matumani...Tumuombee ....Nakupenda tena nina imani nawe...ushanitendaa....
 
Alafu kwangu ni nyimbo moja mbovu sana, haina mzuka, beats mbaya, lyrics are lame, melody haipo, sielewi baadhi wanaipenda kwa misingi ipi, MBOVU kabisa na Kiba kachemka.
Alafu sio MPYA kivile.
Tunatofautiana Ladha
 
muda mrefu umefika hadi umeshachosha baadhi ya masikio ya watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…