History:Tanzania=Zimbabwe+Tang anyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

History:Tanzania=Zimbabwe+Tang anyika

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by zubedayo_mchuzi, Oct 25, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Muungano wa Zimbabwe na Tanganyika ilikuwa"One ninenteen sixty four

  Uhuru wa Tanganyika ulikuwa One ninenteen sixty one.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hao ndiyo mawaziri wetu tuliowapa madaraka na kuwaamini watuongoze, hivi mkataba ataweza kusoma kweli????
   
 3. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Watz kweli hamnazo,we hiyo itakusaidia nini sasa?haya wewe una masters na unaishia kulalamika si bora huyo ambaye hana hiyo elimu lakini ana mafanikio kimaisha na ameleta maendeleo ktk community yake kwa kusimamia elimu ya taifa ilhali wewe na masters yako unalalamika mshahara wa millioni moja mdogo unataka uongezewe sasa nani mwenye akili?wewe hauna?
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ndo wewe mzee one ninenteee
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Afu mkitukanwa mnakimbilia kwa mama zenu wadogo kina moderetas, maaanina!
   
 6. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ww kama sio mulugo, atakuwa nduguyo!!

  alichemka au hakuchemka?
   
Loading...