Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,225
- 8,780
Muhammad SAW hakuandika Quran lakini tunaambiwa Peter aliandika 1 na 2 Peter
Muhammad SAW hakuandika Quran lakini tunaambiwa Peter aliandika 1 na 2 Peter
Mkuu Muhamad hakujua kusoma wala kuandika, ikiwa kutokujua kusoma ni kigezo, Quran isiaminiwe na waislamu? tusaidie.
Kwa hiyo maiti yake ndio ilianguka yeye akiwa ameshakufa siku nyingi.sidhani kama ni sahihi,yani ukienda kupiga risasi maiti tutasema hiyo mtu alipigwa risasiYUDA ISKARIOTE ALIJINYONGA AU ALIANGUKA??????????????
Baadhi ya watu Kama wewe mto mada huona kuwa injili zinasigishana. Hii ni kutokana na utofauti wa utoaji taarifa juu ya jambo moja.
Kwa mfano Mathayo anasema YUDA ISKARIOTE ALIJINYONGA wakati Luka katika kitabu cha matendo ya mitume anasema YUDA ISKARIOTE ALIANGUKA.
Hebu tunukuu hivi vitabu:-
1. Mathayo 27:5 unasema "AKAVITUPA VILE VIPANDE VYA FEDHA KATIKA HEKALU, AKAONDOKA, AKAENDA AKAJINYONGA".
2.Matendo 1:18
inasema " BASI MTU HUYU ALINUNUA KONDE KWA IJARA YA UDHALIMU , AKAANGUKA KWA KASI AKAPASUKA MATUMBO YAKE YOTE YAKATOKA".
KWA NINI NI MUHIMU KUTATUA TOFAUTI KAMA HIZI???
Ni MUHIMU sana kwa sababu WAPINZANI WA INJILI NA BIBLIA huyatumia maeneo kama haya kuwapotosha watoto wachanga kiroho na kuwatoa kwenye imani. Mara nyingi huwaambia, ona!!! Biblia sio neno la Mungu, imetungwa tu na watu , huoni wanavyotofautiana katika kuripoti?
Nadhani umeshaelewa shabaha ya ufafanuzi wa maeneo tata katika biblia.
Sasa twende kwenye ufafanuzi. Kabla ya kufafanua tujihoji wenyewe, Je, Mathayo na Luka wanapingana???
JIBU NI HAPANA NA WOTE WAMEELEZA TUKIO MOJA KWA USAHIHI.
Kinachotofautisha utoaji taarifa wa Mathayo na Luka ni MTINDO TU WA UWASILISHAJI.
Mathayo ametoa taarifa ya tukio la kujinyonga au kujitundika mtini kama ilivyozoeleka enzi hizo. Lakini Luka ameeleza tukio lililofuata baada ya kujinyonga yaani kupasuka matumbo.
Ni hivi baada ya Yuda ISKARIOTE kujitundika mtini, hakutolewa ili azikwe bali aliachwa mtini kwa kuwa alionekana kuwa najisi.
Sasa baada ya muda Fulani kupita kamba aliyojitundikia ilikatika naye akaanguka kwa kasi na matumbo yake yakatoka. Kwa hiyo Luka ameripoti kilichotokea baada ya kujinyonga na Mathayo ameripoti tukio la kujinyonga.
Kwa ujumla hakuna msigishano ila kuna taarifa zenye utamu zaidi. Maana kama wote wangeripoti kujinyonga tusingejua kilichotokea baada ya kujinyonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Kwa hiyo maiti yake ndio ilianguka yeye akiwa ameshakufa siku nyingi.sidhani kama ni sahihi,yani ukienda kupiga risasi maiti tutasema hiyo mtu alipigwa risasi
Sio kirahisi ilikua ni machozi ,jasho na damuWaliobuni ni watu wenye akili sana, Imani imeenea duniani hasa ulimwengu wa tatu.
Hahaha ndo mnavyoambiwa makanisani ili muendelee kujaza sadaka. Mi huwezi niambie nisitumie akili, huo ni uchizi. Nitatumia akili na kama kitu hakina mantiki hakina, tatizo sio langu tatizo ni waliotunga hizo hadithiUkifuatilia kwa akili haya mambo unapotea mazima
Zote za uwongo...Ila moja imejulikana kutokana kua na manufaa kwa watawalakwahiyo kwa hadithi za miungu ya kipersia na misri ukaona ni kweli ila za YESU tu! ndio za uongo?
luka 1:1......Kwa kuwa watu wengi wameweza kuandika kwa utaratibu habari za mambo yaliyotimizwa katikati yetu, 2 kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo, 3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu, 4upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.Story ya Yesu
Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi wamefuatilia vizazi vya Yosefu wakati Hana uhusiano na Yesu Kama kweli kazaliwa kwa bikira Mariam.
Mathayo 2:13-15 inasema Yesu alipelekwa Misri baada ya kuzaliwa. Luka 2:22-40 inasema walibaki Bethlehem, wakaenda Jerusalem na kurudi Nazareth, bila kutaja kwenda Misri.
Kifo Cha Yuda kinasemwa na Mathayo 27:5 kuwa alijinyonga Ila Matendo ya Mitume 1:18 inasema alianguka shambani na akafa.
Yohana 19:17 inatuambia alibeba msalaba wake, Marko 15:21-23 inasema Simoni alimbebea msalaba.
Kila kitabu Cha injili kinasema maneno ya Yesu ya mwisho tofauti Kila injili inachanganya tukio la kufufuka kwa Yesu. Marko 16:2 inasema ilikuwa asubuhi, Yohana 20:1 inasema ilikuwa usiku.
Mathayo 28:2 inasema alionekana malaika mmoja, Yohana 20:11-12 inasema malaika wawili. Marko 16:5 inasema mwanaume mmoja Luka 24:4 inasema wanaume wawili.
Hitimisho: Story ya Yesu inasemekana imeibiwa kutoka dini za kihindi, kipersia, kimisri, kigiriki na kirumi. Miungu yao mingi ilizaliwa December 25, ilizaliwa kutoka kwa Bikira, ilifanya miujiza, ilikufa na kufufuka.
Ina maanisha story ya Yesu sio original na iliundwa na watu tofauti tofauti ndo maana hata vitabu vya dini kuhusu yeye vinajichanganya kuhusu maisha yake yalivyokuwa. Kama ukristo mzima unategemea story hii na Ina makosa kihivi, je Biblia litakuwa neno halisi kutoka kwa Mungu au utunzi wa Binadamu?
Ndugu simba Mpole maandiko yako yechambuliwa na mtu asiyekuwa na uelewa dhabiti na biblia au neno la Mungu maanaStory ya Yesu

We nieleweshe mtu anakuwaje na babu wawili mzaa babaNdugu simba Mpole maandiko yako yechambuliwa na mtu asiyekuwa na uelewa dhabiti na biblia au neno la Mungu maana
hiyo mistari ulioiquote ni just a tip of iceburg ambapo huwezi ona ukubwa wa iceburg ulioko chini ya kile kinachoonekana. yaani namaanisha kwa ku quote mistar miliwi au mitatu bila kusoma kisa kizima vizur huwez pata content inayozungumziwa.
Biblia sio just an ordinary Book but Holy spirit aspired Book kwahio ili uelewe vizur lazima mwandishi asili mwenyewe ambae ni Roho wa Mungu akisaidie lasi hivyo utaona vitu just like a tip of iceberg huku iceberg yenyewe iliyoko chini huwezi kuiona kamwe.