Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Ahsante sana nilijiuliza sana kipindi cha mashindano ya CECAFA nilipoona Zambia wanatumia melody kama yetu ila nikashindwa kuelewa duh ahsante sana.
 
Vipi kuhusu Spain, nasikia nayo haina wimbo wa taifa!!
 

Wakati nasoma Uganda abt 15 yrs ago sikupata shida kukariri wimbo wa uganda ila ni kuwa huwa wanaimba beti moja tu mara nyingi hawaumalizii
 
hahaha,nchi yetu inaelekea kubaya sana...
Kweli kabisa maana kitu kikiwa ni cha kiasa hata kama ni cha maslahi ya Taifa kuna wadau wanaki-link na vyama viwili vyenye upinzani wa karibu kwa sasa alafu kikiwa kwenye hali flani ya kimungumungu wanaanza kuangalia tena kwa style ya mdau uliemjibu comment
 
Ndugu zangu naomba kujifunza nifaham haya. Nani alitunga wimbo wa Taifa letu; mbona unafanana na Zambia na South Africa? Pia nani mbunifu wa jina la "Tanzania" baada ya muungano.

Je kulikuwepo na wimbo wa Tanganyika?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…