ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Wacha weee
Mimi baharia mimi kidume cha mbegu
Mimi baharia mimi kidume cha mbegu
Hivi wewe si unaumwaaBaharia mwenzenu nimekuja kujisomea comments tu
Njoo mtoni basi jamani bahariaWacha weee
Ndio ndioWacha weee
Naumwa kweli dada yaani naumwa nikilala havilaliki kabisa jamaniHivi wewe si unaumwaa
Pole sana jamani mdogo wanguNaumwa kweli dada yaani naumwa nikilala havilaliki kabisa jamani
Asante babe [emoji8][emoji8][emoji8]Pole sana jamani mdogo wangu
[emoji7][emoji8]Asante babe [emoji8][emoji8][emoji8]
Baharia anakuwa na house girl anaefanana kabisa na sanchoka kwa ajili ya kazi za ndani....yani baharia unakosa house girl...?kAMA UBAHARIA NDIO UKO HIVYO BASI MIMI NAJITOA AISEEE
Hivi kama uko hivyo baharia siku umeoa mkeo anaumwa ama ni mjamzito mtaishi kweli?
ubaharia huu wakingese kinoma
Avatar na jina huwaga vinanipeleka kwingine [emoji2] [emoji2] [emoji2] sorry mkuuMimi baharia mimi kidume cha mbegu
Itabidi mkodi maana sisi hilo jengo hatukulijenga kirahisi ili tubidi kupiga mitakasi ya kuzamia meli7800
Tuanze mchakato
MmmhhhItabidi mkodi maana sisi hilo jengo hatukulijenga kirahisi ili tubidi kupiga mitakasi ya kuzamia meli
Mabaharia mkishakuwa wanaume mtaelewa tu ila kwa sasa mnasumbuliwa na ujana tuBaharia anakuwa na house girl anaefanana kabisa na sanchoka kwa ajili ya kazi za ndani....yani baharia unakosa house girl...?
baharia unakuala maboga magimbi ugali mtama ngano ulezi, vitafanwa vyako daima ni mabumunda, mihogo viazi sio mikate, kachori, bagiaHata pale kwa SELE BONGE?