Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Kuuliza sio ujinga.. Nasikia neno baharia likitumika sana siku hizi kwa wanaume.

Nilitaka nijue huyo baharia ana sifa gani mpaka kuitwa baharia?
 
Nenda pale DMI watakupa majibu kwa kina zaidi........
 
Ni rahisi tu kumjua,baharia huwa hana pesa ya kulipa kwa ajili ya mgegedo,ni mtaalam wa kukopa mbunye,na pia 80% ya mabaharia wanafukua mitaro,
Nadhani mpaka hapo umemtambua baharia ni nani? Je ulishakutana na baharia?
 
Karibu Tukuhudumie
IMG-20190825-WA0003.jpeg
 
Maana yake halisi ni mfanyakazi wa kwenye meli .... sailor

Ila dunia inavyokwenda vijana wamelipa tafsiri nyingi tofauti tofauti kadri wanavyoona inafaa.
 
Back
Top Bottom