davie dee
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 934
- 1,215
baadhi ya watu waliozamia nchi za watu mfano South Africa,Zimbambwe n.k wakaenda either wakarudishwa au wakarudishwa au wakarudi wenyew ndo hupenda kujiita mabaharia wakijifananisha na wafanyakazi walio katik meli ambao husafiri umbali mrefu kama wao so kulihusisha na bhangi sio sahih hilo neno ni msimu 2 huja na kupotea