Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,933
- 32,341
Historia ya Tanganyika kwa kweli imefichwa vitu vingi atúambiwi, ebu tutumie akili zetu kujiulìza wakati NYERERE yuko Musoma, Dar-ès-salaam kulikuwa akuna harakati zozote za kutafuta Uhuru?na kina nani walimpokea Nyerere Dar-es-salaam na ilikuwa mwaka gani? kuna kitabu kimoja kina kurasa 416 kinaitwa 'Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes' (1924-1968) baadhi ya makala zake za utafiti ni: In Praise of Ancestors' (1988) Afrìca Events (London) 'Abdulwahid Sykes: Founder of a Polìtical Movement'