Historia ya nchi yetu iliyofichwa

Christianity is a relatively new religion in Tanzania having introduced into the country during the 18th Century by professional missionaries. Christianity was resisted by Muslims right from the beginning. In any uprising against the colonial state Muslims took that opportunity to attack missionaries and Christian establishments.2 Muslims perceived both missionaries and the colonial state as fellow collaborators and therefore enemies to Islam. Islamic radicalism has therefore a long history in the struggle against colonial rule and Christianity. Christianity meanwhile became a reactionary force siding with the colonial state. In the Maji Maji War of 1905 some Christians fought alongside the German army against the people to safeguard Christianity.3 In this war some Muslims were hanged particularly for killing missionaries and for waging a war against German rule.

Read more: ISLAM AND POLITICS IN TANZANIA
 
Those who are interested, may follow this link of U.S Department of State. It gives UPDATED FACTS ABOUT TANZANIA. Check on country Profile.

Tanzania
 
Tumekuwa tukiambiwa kuwa makanisa yamekuwa yakipinga dhulma na uovu. Mada yangu ni kutaka kujua mchango wa makanisa katika kudai uhuru wa Tanganyika.
Nashindwa kuelewa nia yako haswa ni nini...kwahiyo ukiambiwa waislamu ndo walikua vinara wakupigania uhuru nini kitabadilika!?Udini mpaka kwenye vitu ambavyo vimeshapita?Kweli wewe ni hatari hata kwa watu wa dini yako mwenyewe!
 
Naona una chuki binafsi na makanisa ndugu! Hiyo ni imani yao, na wala mtu halazimishwi kujiunga. Hivi kwa mfano kwenye ile dini yetu mtu anaruhusiwa kuoa hadi wanawake wanne, yaani ratio ya 1:4, nikisema kuna unyanyasaji wa kijinsia nitakuwa nimekosea mkuu?

1:4 ina Unyanyasaji gani bana wakati mathematically proved ie. Assume the left side be man and right side be women, then 1:4=1/4=0.25! However 1:0=?!!! Tumia akili,chochote ambacho hakipo kimahesabu ni wrong. Be truely great thinker not tinker!
 
Nashindwa kuelewa nia yako haswa ni nini...kwahiyo ukiambiwa waislamu ndo walikua vinara wakupigania uhuru nini kitabadilika!?Udini mpaka kwenye vitu ambavyo vimeshapita?Kweli wewe ni hatari hata kwa watu wa dini yako mwenyewe!
Hapo kwenye bold ni ujuha!
 
The British took over Tanganyika (as Tanzania was then known) from the Germans after the First World War, by then the Germans had done more than their fair share in opening up Tanganyika for Christian influence through various Christian establishments. Tanganyika was divided among different Christian organizations originating from various European countries. The White Fathers were in Tabora, Karema, Kigoma, Mbeya, Mwanza and Bukoba; Holy Ghost Fathers - Morogoro and Kilimanjaro; Benedictine Fathers Peramiho and Ndanda; Capuchin Fathers - Dar es Salaam; Consolata Fathers - Iringa and Meru; Passionists Fathers - Dodoma; Pallotine Fathers - Mbulu; Maryknoll Fathers Musoma; and Rosmillian Fathers -lringa.4

Read more: ISLAM AND POLITICS IN TANZANIA
 
Those who are interested, may follow this link of U.S Department of State. It gives UPDATED FACTS ABOUT TANZANIA. Check on country Profile.

Tanzania

Mkuu,

Nyerere alisema ,"kitu cha kipuuzi kikisemwa kwa kizungu watu wataona cha maana".
Hapa namaanisha hiyo update katika link uliyoiweka. Wao wameitowa wapi?

Ukweli ni kuwa census za Tanzania hazina kipengele cha kuainisha dini ya mtu. Kama kuna umuhimu wa kujua hili sensa itakayofanyika iingize hicho kipengele.

After all, watu wanajiita waumini lakini hamna kitu, hawafuati mafundisho ya dini zao.
Hapa JF watu wanapenda au wanaona ni sehemu ya kupunguzia frustration zao badala ya kuondoa ukondoo na kupambana, kuchukua hatua ya kuwawajibisha viongozi wanaotuendelezea ufukara na umasikini.

Kama historia imepotoshwa basi iandikwe katika usahihi wake lakini mabishano humu hayatasaidia sana. kwa hiyo watu waandike vitabu ili watu walinganishe vitabu tofauti, maandiko tofauti tena watachagua nini cha kuamini.
 
The British took over Tanganyika (as Tanzania was then known) from the Germans after the First World War, by then the Germans had done more than their fair share in opening up Tanganyika for Christian influence through various Christian establishments. Tanganyika was divided among different Christian organizations originating from various European countries. The White Fathers were in Tabora, Karema, Kigoma, Mbeya, Mwanza and Bukoba; Holy Ghost Fathers - Morogoro and Kilimanjaro; Benedictine Fathers Peramiho and Ndanda; Capuchin Fathers - Dar es Salaam; Consolata Fathers - Iringa and Meru; Passionists Fathers - Dodoma; Pallotine Fathers - Mbulu; Maryknoll Fathers Musoma; and Rosmillian Fathers -lringa.4

Read more: ISLAM AND POLITICS IN TANZANIA

Nimesoma hiyo reference mkuu! na hii hapa ni nukuu! paragraphy ya mwisho kabisa

''We cannot talk of any Muslim development because the colonial status quo still persists. The ratio of Muslim joining higher institutions of learning trails behind Christians 1:10. In desperation Muslims have opened up their own schools but all of them are poorly organised and equipped''
.
1. Why these schools are poor organised?'

Kaka I know muslim more than you do! I beg to be neutral in religious matters. The biggest enemy of muslim is inferiority complex! western cultures that christian have adopted seems superior than arabic culture, in the other side is like you wanted this ( which for me is corrupted culture) you wanted it now is not yours!

I have never met with any muslim in Tanzania who wanted to be muslim while was in the womb! so as christian, what happened is just a life!! we are black they are white! we are black they are red hindians! we are poor they are rich ! this is the world the best way is to fight and struggle so far you know the truth!

The truth is not posting and blaming Nyerere, the truth is to study hard and excel further, many muslim are doin' well and are in good positions, they dont even think about their past, IF YOU WANT TO KNOW THE PAST GOOD, I DO,BUT PLEASE DONT POINT FINGERS IN MATTERS THAT YOU CANT CHANGE, wont help you!

The problem in muslims is bigger even if all christians will evacuate this land today!
 
The British took over Tanganyika (as Tanzania was then known) from the Germans after the First World War, by then the Germans had done more than their fair share in opening up Tanganyika for Christian influence through various Christian establishments. Tanganyika was divided among different Christian organizations originating from various European countries. The White Fathers were in Tabora, Karema, Kigoma, Mbeya, Mwanza and Bukoba; Holy Ghost Fathers - Morogoro and Kilimanjaro; Benedictine Fathers Peramiho and Ndanda; Capuchin Fathers - Dar es Salaam; Consolata Fathers - Iringa and Meru; Passionists Fathers - Dodoma; Pallotine Fathers - Mbulu; Maryknoll Fathers Musoma; and Rosmillian Fathers -lringa.4

Read more: ISLAM AND POLITICS IN TANZANIA
fairy tale for grownups!
 
Hakika historia ya Tanzania imefichwa na inahitaji magwiji wa historia kukaa, kufanya utafiti na kuiandika upya. Mfano, tunapoambiwa kuwa Tanzania ilipata uhuru 9-12-1961 HII SI KWELI. Ni upotoshaji wa makusudi kabisa wa historia. Siku hiyo ilikuwa ni uhuru wa Tanganyika.

Pia historia ya uhuru wa Tanganyika inasisitizwa zaidi kuanzia mwaka 1954(ilipozaliwa TANU), nao ni upotoshaji wa makusudi. Nikiwa mzalendo na msomi wa kiwango cha kawaida kabisa, ningependa kujulishwa kwa nini historia haielezi nafasi ya dini zetu(UISLAM na UKRISTO) katika kupigania uhuru wa nchi yetu!!! Mfano, mchango wa UISLAMU na WAISLAMU ktk kupigania uhuru wa Tanzania ni zaidi ya 75%. Vita vya MAJIMAJI viliongozwa na WAISLAMU ambao ni Chifu SONGEA BIN RAUF na KINJEKITILE NGWARE. Pia wapo akina BWANA KHERI, ABUSHIRI BIN SALIM EL-HARITH kwa upande wa kaskazini. Katika mkoa wa Iringa yupo Chifu MKWAWA ambaye nae ni muislamu(mjukuu wake Adamu Sapi Mkwawa ni muislamu). MIRAMBO na ISIKE.

Katika zama za kati miaka ya 1940-1950s wapo akina MZEE BIN SUDI, ABDULWAHID SYKES, DOZA AZIZ, TEWA SAIDI TEWA, SULEIMAN TAKADIRI, AHMED RASHAD, MSHUME KIYATE, HAMIS DIWANI, SAADAN ABDU KANDORO, ALI MANENO, ZUBERI MTEMVU,IDDI FAIZ, RAJAB DIWANI, BIBI TITI MOHAMED, RAMADHAN CHAUREMBO, HAIDAR MWINYIMVUA etc

  • Mbona wamesahaulika? Wamesahaulika kwa makusudi au ni bahati mbaya?
    [*]Mchango wa makanisa ktk uhuru wa nchi yetu ni upi?

  • Mbona jamii ya kiislamu nchini ipo nyuma, nini kimesababisha hali hii?

Naomba hii hoja iishie hapa kwa kweli, maana ikiendelea italeta utata. Hapo kwenye red maswali yamekaa kiudini mno na hata yakijibiwa, bado yatahidi majibu zaidi. Kwa kufanya hivyo, yanaweza kuwafurahisha AU kuwakosesha raha kundi fulani la watu.....
KWA HIYO NAOMBA HII HOJ IFUTWE KABISA, HAINA MANUFAA KWA WATU WENYE MTAZAMO WA UTAIFA
 
Mkuu,

Nyerere alisema ,"kitu cha kipuuzi kikisemwa kwa kizungu watu wataona cha maana".
Hapa namaanisha hiyo update katika link uliyoiweka. Wao wameitowa wapi?

Ukweli ni kuwa census za Tanzania hazina kipengele cha kuainisha dini ya mtu. Kama kuna umuhimu wa kujua hili sensa itakayofanyika iingize hicho kipengele.

After all, watu wanajiita waumini lakini hamna kitu, hawafuati mafundisho ya dini zao.
Hapa JF watu wanapenda au wanaona ni sehemu ya kupunguzia frustration zao badala ya kuondoa ukondoo na kupambana, kuchukua hatua ya kuwawajibisha viongozi wanaotuendelezea ufukara na umasikini.

Kama historia imepotoshwa basi iandikwe katika usahihi wake lakini mabishano humu hayatasaidia sana. kwa hiyo watu waandike vitabu ili watu walinganishe vitabu tofauti, maandiko tofauti tena watachagua nini cha kuamini.

Umeisoma link yote mpaka mwisho? au umesoma mambo yanayohusu Census tu?
Kuna mambo ya matokeo ya uchaguzi yameandikwa pale, historia ya nchi kwa ujumla. Ulikuwa ni mchango wangu tu kwenye sources of information. Maana zipo sources nyingi na inakuwa vizuri tukiziangalia zote.
 
Umenifumbua macho, kumbe NCHI HII IMEJENGWA NA WAISLAMU... Sasa makanisa najua walikuwa wanazuia kudai Uhuru... Hii ni NCHI YA WAISLAM
 
1:4 ina Unyanyasaji gani bana wakati mathematically proved ie. Assume the left side be man and right side be women, then 1:4=1/4=0.25! However 1:0=?!!! Tumia akili,chochote ambacho hakipo kimahesabu ni wrong. Be truely great thinker not tinker!

mmh ulivyoitetea hiyo hoja hadi na hesabu zake.
Hajui kama kuna conditions mwanaume wa kiislam amewekewa akitaka kuoa wake wengi.
Hata wangekatazwa wangetoka nje tu. Nafikiri mungu aliliona hilo mapema.
Ukewenza nao kazi lakini.
 
Umenifumbua macho, kumbe NCHI HII IMEJENGWA NA WAISLAMU... Sasa makanisa najua walikuwa wanazuia kudai Uhuru... Hii ni NCHI YA WAISLAM

ukisema hivyo naona unakosea. Kwa nielewavyo
Uislamu na ukristo umefanywa kuingizwa. Uislam ulitangulia kwa hiyo katika harakati za uhuru wapiganiaji wengi walikuwa waislamu.
Uislam ni utamaduni wa waarabu na ukristo tamaduni ya wazungu. Hivi kwanini tz hatukubaki na utamaduni wetu hadi tumeadopt mambo yao huko.
Bora hindu wanajiabudia zao ng'ombe
 
we unazungumzia historia wkt kuna mambo ya msingi kama katiba, dowans unatupoteza tusiyajadili we umetumwa na ra na el nini?
 
Back
Top Bottom