Historia ya nchi yetu iliyofichwa

Historia ya nchi yetu iliyofichwa

mkuu mleta hii maada, kama ulikuwa hujui, huyo ndo nyerere. ni zaidi ya umjuavyo. lakini ukweli utajulikana tu. this is just a matter of time. Everything will be out.

Then what? NA KAMA ANGEKUWA NA TABIA KAMA ZA KWENU HAWA AKINA JK NA WENGINE WENGI MNGEWAPATA WAPI? NILIDHANI KUSOMA NA KUJUA MATUMIZI YA COMPUTER KUNASAIDIA KUTOA UMBUMBUMBU KUMBE I WAS NOT RIGHT. NI ZAIDI YA HAPO. BADALA MLETE VITU VYA MAANA MNAHANGAIKA NA UJINGA USIO NA TIJA KWA WA TZ. DUH!
 
Ukishajua mchango wao what is next?? Wanawake na wanaume..? then wazee na vijana..? warefu na wafupi? wembamba wanene? kila la heri...

Nikishajua itaniwezesha kupata mwanzo wa kutambua chanzo cha MFUMO KRISTO SERIKALINI(CHRISTIAN LEGACY)
 
Ukiandika historia ya nchi yetu kama unavyoijua wewe, na hasa michango ya hao Watanganyika uliowataja sisi tutafurahia kununua kitabu chako na kuisoma. Jaribu kushirikiana na wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam au vyuo vingine, ukiwapa uyajuayo juu ya michango ya hao Watanganyika.

Lakini tukinung'unika kwamba hawa Waislamu au Waarabu waliokuja kwa biashara ya utumwa hawatajwi ktk historia yetu hatutafika mbali. Hata wapagani na Wakristo wa mwanzoni hawatajwi pia. Ni jukumu la vijana wetu wasomi kufanya utafiti yakinifu na kuandika historia bila kuonyesha chuki au ubaguzi wa makundi.
 
Nikishajua itaniwezesha kupata mwanzo wa kutambua chanzo cha MFUMO KRISTO SERIKALINI(CHRISTIAN LEGACY)
Ukijua chanzo then itakuwaje? Watu wenye mawazo ya kibaguzi uliojaa udini utawajua tu kwa matendo yao. Tumeshakujua ndugu unataka kuanzisha ligi isiyo na maana. Kwani mtu aliyepigania uhuru akitajwa tu kwa jina bila dini yake atakuwa amedharauliwa? Post vitu vyenye maana si vinavyotaaka kuwagawa watu kwa minajiri ya dini. Wote ni watanzania, na dini ni state tu ambayo inaweza kubadilika, mbona watu wanabadili dini?
 
Nikishajua itaniwezesha kupata mwanzo wa kutambua chanzo cha MFUMO KRISTO SERIKALINI(CHRISTIAN LEGACY)

Ni ajabu viongozi wa serikali yako (JK,Mwinyi) hakuliona hilo! Jitahidi "kujua" ili uimplement mfumo wa kiislam serikalini na mahakama ya Kadhi..
 
Umefilisika kifikra,jaribu suala lingine,kwani hao wote walisomeshwa na nani ,hivi kulikuwa na shule za waislamu?mbona hata JK amekiri kuwa kama siyo wamisinari wakristo asingefika hapo alipo usiangalie majia ya kiislamu angalia chimbuko lao.
 
Hilo kanisa la unguja ulisemalo, lenyewe ndio lilikuwa likifanya biashara ya utumwa, huoni ajabu kuwa hivyo vyumba vya kuhifadhia watumwa vipo chini (underground) ya kanisa. Sasa hao walikuja kuuondoa utumwa au kuuendeleza?

Utumwa katika kanisa hadi leo unaendelea kwa sura nyingine, yale mabweni ya kulelea masista na ma-father, ule ni utumwa. Na vile vituo vya kulelea yatima kwenye makanisa, si kwa kuwa vipo kwa ajili ya kuwasaidia hao watoto, vipo katika kuendeleza biashara ya utumwa. Kubali au kataa!

Kuna sababu ipi ya kanisa kuweka watawa ambao wananyimwa haki zao zote za msingi, hata kuoa au kuolewa hawaruhusiwi, wanawa brainwash kuanzia wadogo na wengi wao kuishia kuwa watumwa maisha yao yote. Kisa? Watawa?

Hawa watumwa wa kanisa mwishowe ndio huishi kuingiliana wenyewe kwa wenyewe na mwishowe kuingilia watoto wanaokwenda Sunday School.

Hayo ndio matokeo ya kuwa mtumwa wa kanisa, na yapo na mpaka papa kaomba msamaha kwa hilo, si tu la kulawitiana na kuharibu watoto bali hata la utumwa kuna mkubwa wa kanisa kisha wahi kuomba msamaha kwa hayo.

Fungueni macho na msitake kupotosha historia iliyo wazi kabisa.

Naona una chuki binafsi na makanisa ndugu! Hiyo ni imani yao, na wala mtu halazimishwi kujiunga. Hivi kwa mfano kwenye ile dini yetu mtu anaruhusiwa kuoa hadi wanawake wanne, yaani ratio ya 1:4, nikisema kuna unyanyasaji wa kijinsia nitakuwa nimekosea mkuu?
 
Vita vya MAJIMAJI viliongozwa na WAISLAMU ambao ni Chifu SONGEA BIN RAUF na KINJEKITILE NGWARE.
Mkuu naona sasa unapotosha kwa makusudi na sijui nia yako ni nini. Nijuavyo mimi vita vya majimaji violiongozwa na Mchawi na Mganga mmoja wa kienyeji Kinjekitile. Tafadhali usikashifu dini nyingine.
 
Hilo kanisa la unguja ulisemalo, lenyewe ndio lilikuwa likifanya biashara ya utumwa, huoni ajabu kuwa hivyo vyumba vya kuhifadhia watumwa vipo chini (underground) ya kanisa. Sasa hao walikuja kuuondoa utumwa au kuuendeleza?

Utumwa katika kanisa hadi leo unaendelea kwa sura nyingine, yale mabweni ya kulelea masista na ma-father, ule ni utumwa. Na vile vituo vya kulelea yatima kwenye makanisa, si kwa kuwa vipo kwa ajili ya kuwasaidia hao watoto, vipo katika kuendeleza biashara ya utumwa. Kubali au kataa!

Kuna sababu ipi ya kanisa kuweka watawa ambao wananyimwa haki zao zote za msingi, hata kuoa au kuolewa hawaruhusiwi, wanawa brainwash kuanzia wadogo na wengi wao kuishia kuwa watumwa maisha yao yote. Kisa? Watawa?

Hawa watumwa wa kanisa mwishowe ndio huishi kuingiliana wenyewe kwa wenyewe na mwishowe kuingilia watoto wanaokwenda Sunday School.

Hayo ndio matokeo ya kuwa mtumwa wa kanisa, na yapo na mpaka papa kaomba msamaha kwa hilo, si tu la kulawitiana na kuharibu watoto bali hata la utumwa kuna mkubwa wa kanisa kisha wahi kuomba msamaha kwa hayo.

Fungueni macho na msitake kupotosha historia iliyo wazi kabisa.

inavyoonekana wewe ni muislamu usiye elimu ya maana, posts zako nyingi zinajieleza. Wakati mwingine unashangaza sana ww
 
Hakika historia ya Tanzania imefichwa na inahitaji magwiji wa historia kukaa, kufanya utafiti na kuiandika upya. Mfano, tunapoambiwa kuwa Tanzania ilipata uhuru 9-12-1961 HII SI KWELI. Ni upotoshaji wa makusudi kabisa wa historia. Siku hiyo ilikuwa ni uhuru wa Tanganyika.

Pia historia ya uhuru wa Tanganyika inasisitizwa zaidi kuanzia mwaka 1954(ilipozaliwa TANU), nao ni upotoshaji wa makusudi. Nikiwa mzalendo na msomi wa kiwango cha kawaida kabisa, ningependa kujulishwa kwa nini historia haielezi nafasi ya dini zetu(UISLAM na UKRISTO) katika kupigania uhuru wa nchi yetu!!! Mfano, mchango wa UISLAMU na WAISLAMU ktk kupigania uhuru wa Tanzania ni zaidi ya 75%. Vita vya MAJIMAJI viliongozwa na WAISLAMU ambao ni Chifu SONGEA BIN RAUF na KINJEKITILE NGWARE. Pia wapo akina BWANA KHERI, ABUSHIRI BIN SALIM EL-HARITH kwa upande wa kaskazini. Katika mkoa wa Iringa yupo Chifu MKWAWA ambaye nae ni muislamu(mjukuu wake Adamu Sapi Mkwawa ni muislamu). MIRAMBO na ISIKE.

Katika zama za kati miaka ya 1940-1950s wapo akina MZEE BIN SUDI, ABDULWAHID SYKES, DOZA AZIZ, TEWA SAIDI TEWA, SULEIMAN TAKADIRI, AHMED RASHAD, MSHUME KIYATE, HAMIS DIWANI, SAADAN ABDU KANDORO, ALI MANENO, ZUBERI MTEMVU,IDDI FAIZ, RAJAB DIWANI, BIBI TITI MOHAMED, RAMADHAN CHAUREMBO, HAIDAR MWINYIMVUA etc

  • Mbona wamesahaulika? Wamesahaulika kwa makusudi au ni bahati mbaya?
  • Mchango wa makanisa ktk uhuru wa nchi yetu ni upi?
  • Mbona jamii ya kiislamu nchini ipo nyuma, nini kimesababisha hali hii?
We umesoma shule gani? Kwa taarifa yako 1961 nui Uhuru wa Tanganyika na iko hivyo ktk historia the rest of thread is:
View attachment 19530
 
Inashangaza hayo majina umeyatoa wapi kama hayako katika historia. Au uliishi wakati huo? Tuambie!
 
Hakika historia ya Tanzania imefichwa na inahitaji magwiji wa historia kukaa, kufanya utafiti na kuiandika upya. Mfano, tunapoambiwa kuwa Tanzania ilipata uhuru 9-12-1961 HII SI KWELI. Ni upotoshaji wa makusudi kabisa wa historia. Siku hiyo ilikuwa ni uhuru wa Tanganyika.

Pia historia ya uhuru wa Tanganyika inasisitizwa zaidi kuanzia mwaka 1954(ilipozaliwa TANU), nao ni upotoshaji wa makusudi. Nikiwa mzalendo na msomi wa kiwango cha kawaida kabisa, ningependa kujulishwa kwa nini historia haielezi nafasi ya dini zetu(UISLAM na UKRISTO) katika kupigania uhuru wa nchi yetu!!! Mfano, mchango wa UISLAMU na WAISLAMU ktk kupigania uhuru wa Tanzania ni zaidi ya 75%. Vita vya MAJIMAJI viliongozwa na WAISLAMU ambao ni Chifu SONGEA BIN RAUF na KINJEKITILE NGWARE. Pia wapo akina BWANA KHERI, ABUSHIRI BIN SALIM EL-HARITH kwa upande wa kaskazini. Katika mkoa wa Iringa yupo Chifu MKWAWA ambaye nae ni muislamu(mjukuu wake Adamu Sapi Mkwawa ni muislamu). MIRAMBO na ISIKE.

Katika zama za kati miaka ya 1940-1950s wapo akina MZEE BIN SUDI, ABDULWAHID SYKES, DOZA AZIZ, TEWA SAIDI TEWA, SULEIMAN TAKADIRI, AHMED RASHAD, MSHUME KIYATE, HAMIS DIWANI, SAADAN ABDU KANDORO, ALI MANENO, ZUBERI MTEMVU,IDDI FAIZ, RAJAB DIWANI, BIBI TITI MOHAMED, RAMADHAN CHAUREMBO, HAIDAR MWINYIMVUA etc

  • Mbona wamesahaulika? Wamesahaulika kwa makusudi au ni bahati mbaya?
  • Mchango wa makanisa ktk uhuru wa nchi yetu ni upi?
  • Mbona jamii ya kiislamu nchini ipo nyuma, nini kimesababisha hali hii?

Historia ya Waislamu ingeandikwa misikitini ingependeza sana! Kama ni muhimu kiasi hicho tuanze na historia ya biashara ya utumwa na uislamu!
 
Na wewe bila kuwataja waislamu roho yako haitulii, naona utakonda kweli kwa chuki..pole.
 
inavyoonekana wewe ni muislamu usiye elimu ya maana, posts zako nyingi zinajieleza. Wakati mwingine unashangaza sana ww

Nipe mfano wa unachokipinga nilichoeleza hapo ni nini? na mimi ntakupa ushahidi, inaonyesha umeamuwa kunijibu mimi na si kujibu hoja nilizoweka, huo unaonyesha ni udhaifu mkuu ulionao kielimu.
 
Katika mkoa wa Iringa yupo Chifu MKWAWA ambaye nae ni muislamu(mjukuu wake Adamu Sapi Mkwawa ni muislamu).
Du kweli wewe mwisho.... (Ningesuggest Proffessional Help) lakini sidhani hata kama proffessional help itakusaidia nadhani uko beyond that. yaani wewe unaangalia everything through dini

I like Mkwawa; na alikuwa Shujaa, miaka hii yote sijasikia mtu akiongelea dini yake sababu it does not make a difference, wala sikujua dini ya huyu jamaa sababu haimpunguzii wala kumuongezea kitu.

Acha hizo ndugu yangu kama unataka kwenda nyuma historically basi twende babu zetu walipokuwa wanaabudu mizimu na sio baadaye hizi dini ambazo zilikuja through colonilisation, au unajua wakati wa German Rule kina Akida (puppet wa wajerumani) walikuwa dini gani??. Achana na mambo ya imani za watu angalia watu through their characters.
 
Naona una chuki binafsi na makanisa ndugu! Hiyo ni imani yao, na wala mtu halazimishwi kujiunga. Hivi kwa mfano kwenye ile dini yetu mtu anaruhusiwa kuoa hadi wanawake wanne, yaani ratio ya 1:4, nikisema kuna unyanyasaji wa kijinsia nitakuwa nimekosea mkuu?

Chuki binafsi uliyoiona hapo juu ni ipi? au si kweli kuwa papa aliomba msamaha kwa kanisa kujihusiha na vitendo vya kulawiti watoto? au si kweli kuna mkuu wa kanisa alieomba msamaha kwa kanisa kujihusisha na biashara ya utumwa? au si kweli kuwa mfumo wa utumwa upo mpaka leo makanisani, hususan kwa watawa na ma-father to be? au sio ukweli kuwa hawa watawa wananyimwa haki zao za msingi hata kuoa au kuolewa hawaruhusiwi?

Nambie wewe ni dini gani? na kama dini yako imekataza kuoa zaidi ya mke mmoja? nionyeshe ushahidi wa maandiko! ingawa hapa sio mjadala wa ndoa, najuwa unataka kupiga chenga lakini ntakujibu utapoleta ushahidi wako. Na hayo niliosema juu, naona hujapinga hata moja katika post yako, ina maana niliyoyasema ni ukweli mtupu na kama kuna moja si la kweli tafadhali nionyeshe.
 
Islam has been in existence in East Africa since the eighth century. With Islam, emerged the lingua franca, Kiswahili, spoken throughout East and Central Africa and the Swahili culture which is mostly associated with Muslims. About two-thirds of East Africa's Muslims reside in Tanzania which is the most populous of the East African countries i.e. Kenya, Uganda and Tanzania. According to the 1957 population census, Muslims outnumbered Christians at a ratio of three to two. This means Tanzania is a leading Muslim nation in the region. But the 1967 census the total figures for Tanzania Mainland are 32% Christian, 30% Muslim and 37% local belief. This shows Pagans as a leading majority. The 1967 census has not been able to show the reasons for the sudden decrease of Muslim population nor the growth of Paganism. This was the last population census showing religious distribution. It is widely believed that the figures for the 1967 census were doctored for political reasons to show Muslims were trailing behind Christians in numerical strength. This paper "lnsha Allah", will try to show the reasons behind such a move and many others.

Read more: ISLAM AND POLITICS IN TANZANIA
 
Hakika historia ya Tanzania imefichwa na inahitaji magwiji wa historia kukaa, kufanya utafiti na kuiandika upya. Mfano, tunapoambiwa kuwa Tanzania ilipata uhuru 9-12-1961 HII SI KWELI. Ni upotoshaji wa makusudi kabisa wa historia. Siku hiyo ilikuwa ni uhuru wa Tanganyika.

Pia historia ya uhuru wa Tanganyika inasisitizwa zaidi kuanzia mwaka 1954(ilipozaliwa TANU), nao ni upotoshaji wa makusudi. Nikiwa mzalendo na msomi wa kiwango cha kawaida kabisa, ningependa kujulishwa kwa nini historia haielezi nafasi ya dini zetu(UISLAM na UKRISTO) katika kupigania uhuru wa nchi yetu!!! Mfano, mchango wa UISLAMU na WAISLAMU ktk kupigania uhuru wa Tanzania ni zaidi ya 75%. Vita vya MAJIMAJI viliongozwa na WAISLAMU ambao ni Chifu SONGEA BIN RAUF na KINJEKITILE NGWARE. Pia wapo akina BWANA KHERI, ABUSHIRI BIN SALIM EL-HARITH kwa upande wa kaskazini. Katika mkoa wa Iringa yupo Chifu MKWAWA ambaye nae ni muislamu(mjukuu wake Adamu Sapi Mkwawa ni muislamu). MIRAMBO na ISIKE.

Katika zama za kati miaka ya 1940-1950s wapo akina MZEE BIN SUDI, ABDULWAHID SYKES, DOZA AZIZ, TEWA SAIDI TEWA, SULEIMAN TAKADIRI, AHMED RASHAD, MSHUME KIYATE, HAMIS DIWANI, SAADAN ABDU KANDORO, ALI MANENO, ZUBERI MTEMVU,IDDI FAIZ, RAJAB DIWANI, BIBI TITI MOHAMED, RAMADHAN CHAUREMBO, HAIDAR MWINYIMVUA etc

  • Mbona wamesahaulika? Wamesahaulika kwa makusudi au ni bahati mbaya?
  • Mchango wa makanisa ktk uhuru wa nchi yetu ni upi?
  • Mbona jamii ya kiislamu nchini ipo nyuma, nini kimesababisha hali hii?

cha kutia akili wewe mheshimiwa ni kua,ktk uwanja wa vita sio wote huwa wapiganaji.tafsiri vizuri kazi ya wanamake pale jeshi linapokua vitani.ninachojaribu kukwambia ni kua,kudai uhuru bila kumwaga damu ilikua technical issue ambayo ilihitaji some sort of formal education plus utashi mkubwa.sasa rejea level ya elimu ya majority ya watu ktk kundi ulilolitaja utapata jibu."ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi!"
 
Back
Top Bottom